Je,umri mkubwa ni kigezo cha kupata ajira ya afya na ualimu?

Je,umri mkubwa ni kigezo cha kupata ajira ya afya na ualimu?

hakuna muhitimu wa 2018 kurudi chini anaweza compete na new graduants:.

hao wame shauriwa kutafuta kazi nyingine.. hata hiyo interview wasiende
Hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaah!

Uongooo, na mi niliwaza hivyo lakini nimegundua ni uongo mkubwa huu.... hao 201x wanacompete vizuri tu. Akili tu mtu wangu.

Anyway kumjibu mleta mada, umri si kigezo bali ufaulu wa usahili zao. Kama ilivyojionesha katika mtihani wa mchujo na sasa oral interview
 
Habar waalimu,naomba niulize ndani ya uzi wako,Je ,katika account za waalimu za ajira portal,mikoa ipo?Kwangu hakuna mkoa tangu walipoitoa mwanzon,acc.ikawa under maintanance..ilivyorudi hakuna mkoa,kuna MDAs &LGAs tu.
 
wewe mikoa unaitaka ya kazi gani??
 
hakuna muhitimu wa 2018 kurudi chini anaweza compete na new graduants:.

wahitimu hao wa 2018 kurudi nyuma wame shauriwa kutafuta kazi nyingine.. hata hiyo interview wasiende
Sio kweli.
Kama uko competent unatoboa.
Binafsi nilihitimu 2012
Ajira portal nikajiunga 2018
2019 kazi zikatangazwa taasisi mbili tofauti kote nikaomba, nikaitwa kote
Kwa mara ya kwanza kufanya usail ajira portal from written, practical Hadi oral zote nikpata
Mimi ndio nikaanza kuchangua wapi niende.
 
kwenye mahojiano ikiwa mtafungana marks ndiyo waangalia kigezo cha umri,jinsia na ulemavu
 
Sio kweli.
Kama uko competent unatoboa.
Binafsi nilihitimu 2012
Ajira portal nikajiunga 2018
2019 kazi zikatangazwa taasisi mbili tofauti kote nikaomba, nikaitwa kote
Kwa mara ya kwanza kufanya usail ajira portal from written, practical Hadi oral zote nikpata
Mimi ndio nikaanza kuchangua wapi niende.
nazungumzia hizi za afya na ualimu...
 
Back
Top Bottom