Je,umri mkubwa ni kigezo cha kupata ajira ya afya na ualimu?

Kukosa utu ni uovu mbaya Sana nadhani kuanzia katiba ya nchi ya TANZANIA na vitabuni imesisitiza na kuzingatia Hilo Kwa uzito.

Wewe ukienda interview umehitimu two years back ukakutana na mjomba wako au Mshangazi hakika kama sio maisha na Kukosa uhakika wa wewe kupata wakati nwingine unaweza hata kumwachia ahojiwe kama mko wawili tu Kwa namna walivyochakazwa na kusulubiwa na maisha.

Binafsi Nawafahamu wengine miaka kumi hawajafanikiwa. Then hammadi unakutana nae mkingoja usaili. Hayo mambo yasikie Radioni na Humu usikutane nayo live unaweza Lina machozi
 
Ni balaa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…