SPECIAL TMN
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 1,111
- 807
Kwanini mkuuNkisikia habari yoyote hukusu umri, moyo unaenda mbio.....
ina maana mizigo yote ya mapuli unayotuuziaga hela unapeleka wapi we mwehu😀😀Mimi Hata uki niambia niuze nguo zangu, hazi fiki elfu 3 🤓.
Naongeza mzigo wa mapuli, miksa kuwa Katia kipande ma mwela🤓ina maana mizigo yote ya mapuli unayotuuziaga hela unapeleka wapi we mwehu😀😀
hizo pumba sahani moja lazima tule huu mwaka😆😀Naongeza mzigo wa mapuli, miksa kuwa Katia kipande ma mwela🤓
Kaza mwanetu, Kuna pori naisikilizia liki lipuka.hizo pumba sahani moja lazima tule huu mwaka😆😀
naskilizia milio jombaa tuishi gudiKaza mwanetu, Kuna pori naisikilizia liki lipuka.
Lazima tuishi jombi
Subiri mabro wajeWakuu habari za leo: Naenda kwenye maada kamili hivi kuna umri ukifikia hata kama hauna kiwanja ndo basi tena? au kila mtu na bahati yake tu kulingana na umri uliofikia?. Na je, kuna ukweli wowote ule kuhusu kuandikiwa wewe hautapata vitu vikubwa maishani mwako?. Nawasilisha.
Kituo Kikubwa unaeza kaaa🤓, au ndo itakuwa sio Mimi🤣naskilizia milio jombaa tuishi gudi
We umeona kidogo🤓Subiri mabro waje
Wameona mengi hao
Bars"What if life is a dream
And when we die we wake up" ?
-mkush Bob Marley