Je, una booster au subwoofer imeshindikana kutengenezeka?

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
1,143
Reaction score
2,475
Tumekuandalia saketi bora ikiwa na sifa zifuatazo.
  • Inatengenezeka kirahisi sana kwani haina mavitu mengi kama zile za mchina.
  • Ina nguvu ya kutosha kama ni 200 watts basi ni kweli kabisa
  • Tunapokea order ya kutengenezewa saketi yenye nguvu unayoitaka wewe.
  • Inafungwa kwenye subwoofer na booster kubwa
  • Ina kifaa cha kuzuia isiungue endapo ikipata joto kupita kiasi
  • Ina mfumo wa subwoofer yaani line ya bass na twita
  • Ipo saketi tumetengeneza ambayo inafungwa kwenye power mixer kisha power mixer iwe na line ya kufunga bass spika.
  • Saketi hii inaweza kufungwa kwenye mixer ambazo si power mixer nazo kuwa power mixer
  • Kama una mziki wako na unaona haukiti vike unataka tunakufungia saketi yenye nguvu ili upasue nyumba ya mama mwenye nyumba lete home theater, subwoofer, radio tukufungie halafu uone.
  • Tunakupa warranty ya muda wa kutosha

Hapa chini ni booster ya candy ambayo ilikuwa haitengenezeki tumefunga saketi yetu kama mnavyoiona hapo sasa usikaone kadogo hivyo kanasukuma full range 2 za fideki kanisani kama unabisha karibu twende ukajionee.

Tunapatikana Goba Dsm. Kwa wale wa mikoani tuwasiliane tuone tunafanyaje.
IMG_20220605_090412.jpg

Tunapatikana Goba Dsm. Kwa wale wa mikoani tuwasiliane tuone tunafanyaje.
 
Attachments

  • IMG-20220626-WA0006.jpg
    IMG-20220626-WA0006.jpg
    62.5 KB · Views: 46
  • Screenshot_20220626-090122.png
    Screenshot_20220626-090122.png
    194.1 KB · Views: 47
  • IMG-20220626-WA0008.jpg
    IMG-20220626-WA0008.jpg
    50.3 KB · Views: 45
  • IMG-20220626-WA0007.jpg
    IMG-20220626-WA0007.jpg
    62.9 KB · Views: 40
  • IMG-20220626-WA0009.jpg
    IMG-20220626-WA0009.jpg
    47.8 KB · Views: 39
  • Screenshot_20220626-090122.png
    Screenshot_20220626-090122.png
    194.1 KB · Views: 39
Bei ikoje soon nitahitaji powered sub woofer board.
 
Mkuu

Namba nimeweka piga.
Bt bei inategemea unataka saketi ya watts ngapi bt yenye nguvu sana kuanzia 150 watts ni elfu 60.
 
Tumekuandalia saketi bora ikiwa na sifa zifuatazo.
  • Inatengenezeka kirahisi sana kwani haina mavitu mengi kama zile za mchina.
  • Ina nguvu ya kutosha kama ni 200 watts basi ni kweli kabisa
  • Tunapokea order ya kutengenezewa saketi yenye nguvu unayoitaka wewe.
  • Inafungwa kwenye subwoofer na booster kubwa
  • Ina kifaa cha kuzuia isiungue endapo ikipata joto kupita kiasi
  • Ina mfumo wa subwoofer yaani line ya bass na twita
  • Ipo saketi tumetengeneza ambayo inafungwa kwenye power mixer kisha power mixer iwe na line ya kufunga bass spika.
  • Saketi hii inaweza kufungwa kwenye mixer ambazo si power mixer nazo kuwa power mixer
  • Kama una mziki wako na unaona haukiti vike unataka tunakufungia saketi yenye nguvu ili upasue nyumba ya mama mwenye nyumba lete home theater, subwoofer, radio tukufungie halafu uone.
  • Tunakupa warranty ya muda wa kutosha

Hapa chini ni booster ya candy ambayo ilikuwa haitengenezeki tumefunga saketi yetu kama mnavyoiona hapo sasa usikaone kadogo hivyo kanasukuma full range 2 za fideki kanisani kama unabisha karibu twende ukajionee.

Tunapatikana Goba Dsm. Kwa wale wa mikoani tuwasiliane tuone tunafanyaje.View attachment 2272761

Tunapatikana Goba Dsm. Kwa wale wa mikoani tuwasiliane tuone tunafanyaje.
Wewe na kelphin ni miamba yenye madini
 
Kwa sisi wa mikoani nani ataifunga kwenye sabufa, maana asilimia kubwa mafundi wa huku ni uchwara, yaani kazi mbovu kuharibu vifaa vya watu ndo wanajuwa, sitosahau nilikuwa na sabufa yangu ya sundera volume 60 ilikuwa ikikita bass mpaka majirani wanakuja kuniomba nipunguze, ilipokata sauti ya twita zake tu nikaipereka kwa mafundi kama 6 wote wakashindwa, akawepo mmoja, akawa anasema mara nunu PT, mara fanya hivi hera zikapukutika mwisho akanishauri tufunge vile vileredio au wanaita card, kuifunga tu inaunguruma kama generator,
Sina hamu na mafundi wa huku,
 
Wa mikoani tunachokifanya piga picha kifaa chako tuone ule mfumo wa ndani kisha tutakwambia nenda kwa fundi huyo fundi tutamuelekeza namna ya kufunga
 
Sawa mkuu, sabufa sunder ya kawaida hicho kifaa chenu mnauza bei gani au ni kwa kupiga simu ndo kunakuwa na mfumo wa bei
 
Inategemea unataka chenye watts ngp mkuu bt kuanzia 150 watts km hicho hapo juu ndani ya booster tunauza elfu 55 tu. Ukitaka kubwa zaidi bei inapanda ndogo zaidi bei inashuka so karibu mwamba....ujipimie unataka ukubwa wa mziki upi. Hicho hapo juu kinasukuma fidek full range 2.
 
Mkuu shida yangu ni lap top ilipata msukosuko(mtikisiko mkubwa) flani, sasa nikiiwasha haiwaki. Nikichaji naona inaingia vizuri, dhida ni kwenye kuwaka.
 
Back
Top Bottom