Je, una experience ya sales kwenye printing and designing?

sweetdada

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
517
Reaction score
169
Anahitajika kijana wa sales mwenye vigezo vifuatavyo:
  • Kuanzia umri wa miaka 21 hadi 30
  • Aweze kutafuta wateja wa printing, designing, event management, social media management
  • Awe tayari kulipwa Tshs. 200,000 kwa mwezi kama allowance, na 10% commission akileta biashara
  • Awe na experience ya sales kwenye industry tajwa hapo juu
  • Location - Dar es Salaam
Kama unadhani una vigezo tajwa, tuma CV yako kwenye:
everyoccasiontz@gmail.com, deadline ni tarehe 22/07/2022. Tutawasiliana na waliochaguliwa kuingia kwenye interview pekee.

Shukrani.
 
Kiongozi nipe kazi iyo uzotefu ninao na wateja ninao.
 
Attachments

  • 20220618_170947.jpg
    20220618_170947.jpg
    309.4 KB · Views: 18
  • 20220604_155415.jpg
    20220604_155415.jpg
    329.9 KB · Views: 20
  • 20220515_133433.jpg
    20220515_133433.jpg
    774 KB · Views: 23
  • 20220410_125544.jpg
    20220410_125544.jpg
    861.3 KB · Views: 23
Anahitajika kijana wa sales mwenye vigezo vifuatavyo:
  • Kuanzia umri wa miaka 21 hadi 30
  • Aweze kutafuta wateja wa printing, designing, event management, social media management
  • Awe tayari kulipwa Tshs. 200,000 kwa mwezi kama allowance, na 10% commission akileta biashara
  • Awe na experience ya sales kwenye industry tajwa hapo juu
  • Location - Dar es Salaam
Kama unadhani una vigezo tajwa, tuma CV yako kwenye:
everyoccasiontz@gmail.com, deadline ni tarehe 22/07/2022. Tutawasiliana na waliochaguliwa kuingia kwenye interview pekee.

Shukrani.
Ubaya nipoo mwanza
 
Back
Top Bottom