Anahitajika kijana wa sales mwenye vigezo vifuatavyo:
- Kuanzia umri wa miaka 21 hadi 30
- Aweze kutafuta wateja wa printing, designing, event management, social media management
- Awe tayari kulipwa Tshs. 200,000 kwa mwezi kama allowance, na 10% commission akileta biashara
- Awe na experience ya sales kwenye industry tajwa hapo juu
- Location - Dar es Salaam
Kama unadhani una vigezo tajwa, tuma CV yako kwenye:
everyoccasiontz@gmail.com, deadline ni tarehe 22/07/2022. Tutawasiliana na waliochaguliwa kuingia kwenye interview pekee.
Shukrani.