CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Achana na habari zifuatazo;
- Nimehamasika sana.
- Nimesimuliwa
- Tumeshauriwa
- Nimeona.
- Nimesikia
-Nimeambiwa
-Nimesoma mahali.
Hayo hapo juu ndo sababu za mtu kuanza Project na ndo maana huwa baada ya siku hakuna kitu. Back kwenye project za Kware, Sungura mara Mitiki, Mara sijui nini.
Unacho paswa kujiuliza ni je unajiandaa kutatua changamoto ipi? kuna changamoto ipi unaiona kwenye jamii?
Je jamii ina shida gani?
Utajiri ni matokeo, Bagharesa ni tajiri kwa sababu aliona watu wa chini wanahitaji sana maji na akaja na maji ya Viroba au akaja na Juice za ei ya chini kutatua changamoto za jamii.
Mengi kwenye Maji ya Kilimanjaro alitatia changamoto za watu kuoata maji safi na salama ya kunywa ndo hapo sasa anapiga pesa.
Mimi huku kijijini nwa wamasai ni sehemu Kame sana sasa niliamua kulima Mboga na kwakweli nilijikuta natatua Changamoto za wao kupata mboga za majani ambazo ndo mboga kuu kwa sasa.
Hivyo mimi ni Tajiri.
Sent using Jamii Forums mobile app