Je, una lipi la kuishauri Simba kupunguza idadi ya goli kesho?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Habari wakulungwa

Japo mechi ya kesho tunajua kuwa Simba itakandwa heavyweight na Al ahly lakini hapa ni mahususi Kwa ajili ya kuishauri technical bench Nini kifanyike Ili kupunguza idadi ya magoli ambayo Simba itafungwa.....najua hata nyie Makolo mnajua kuwa hamtoboi

Ushauri wangu

Simba kesho waende kupaki basi mwanzo mwisho, ....kama nilivyosema kuwa Simba lazima wakandwe kesho ...so Ili kuepuka kukandwa magoli mengi wanatakiwa kupaki basi ...ili litoshe tu Hilo goli Moja ...bila ya hivyo naona Simba atakula goli zaidi ya 5G

Najua management ya Simba inapitia humu jf na haitadharau ushauri huu

 
Watafungwa goli chini ya 3

Ahly wanajua jinsi ya kucheza knockout games, so kesho sitarajii magoli mengi, tahadhari kwa Simba ni kucheza mchezo wa kujilinda na kushtukiza..

Wakisema wafunguke kwa kuwa hawana la kupoteza, kuna uwezekano wa goli nyingi pale Cairo Int. Stadium

#YallaYaAhly
 
Aahaaaaa sawa mkuu...hii Iko poa
 
Wapambane na hali zao.

walishindwa kuwa serious na game ya kwanza wakawa wanahangaika na Yanga, kesho waandae mafuta ya nazi ili wasiumizwe.
Sio vizuri mkuu....yatupasa kuwaombea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…