uvugizi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,278
- 956
Mara nyingi mtu mkamilifu mwenye upendo wa dhati huwa anajaribu na anaepuka kuleta maumivu kwa mwenzake na jamii kwa ujumla. Ikitokea kumuumiza mwenzako unahisi kuhukumiwa toka ndani . Mtoto mdogo ukimuangalia hasa wale wa miaka 3 hivi anapomuumiza mwenzake anaweza hata na yeye akalia . Mtoto mara zote siyo sadist.
sadist ni mtu ambaye amekuwa na huzuni ndani kwa ndani kwa muda mrefu sana , au kwa lugha ya mjini waliovurugwa . ukitawaliwa na hali kwa muda mrefu inakujengea kitu kinaitwa UKATILI . ukatili ni tunda la huzuni iliyopitiliza , na hata makanisani ndipo kuliko na watu sadist wengi sana, wanakuja kila siku kwa mantiki ya wokovu.
sadist unaweza kuiondoa kwa divine knowledge tu ( taarifa na maarifa ya kiungu).
ukiwa sadist , kama ni mtumishi wa Mungu unaweza ukasikia yule bwana huduma yake imeanguka wewe kwa sababu ni sadist utaanza kufurahia,,,,, mfano mtumishi wa Mungu kafumaniwa wewe unaanza kufurahia ,,,,,,Nabii wa Mungu kakosea unabii kwako wewe ni furaha.
yaani watu wanakuwa egocentric hata kwenye kazi ya Mungu , mfano mtu anatafuta waumini waje kanisani kwake lakini anavyoshuhudia ni kumtangaza yesu , lakini kwa muktadha wa kujiwazia wewe mwenyewe kwanza badala ya wengine na egocentrism ndiyo tabia chanya ya sadist( watu wenye huzuni na waliovurugwa).
Kwa nini SADIST mfumo wa dunia kifalsafa ni huzuni na ndiyo maana tupo duniani na shetani maana mbinguni hakuna huzuni , shetani naye hayupo mbinguni . sadist ni mtu ambaye ameathirika kwa sababu yake mwenyewe , kutokana na MATENDO ,MANENO, na MAONO. Watu waliohuzunishwa walitendwa aidha na vitu walivyoviona au matendo waliyofanyiwa , maneno waliyosikia.
Ukimuona mtu katili usifikiri anafanya ukatili pale unapoona ukashangaa, kuna historia iliyojificha , je,,, amekulia wapi ? , je ni katika nchi ya vita vita vya mara kwa mara , au ni katika malezi ya mama na baba kupigana mara kwa mara.
DR. Erin buckels wa chuo kikuu cha british columbia , alibainisha matokeo makubwa ya sadism( hali ya kusikia raha wengine wanapoumia).
dr erin buckels ili kujaribu hiyo hypothesis ya sadism , alichukua watu 71 chini ya maabara maalum akataka kuona " personality tolerance for challenging jobs" ( uvumilivu katika majukumu magumu).
Aliwaambia washiriki wachague kazi amabazo wengi hawazipendi na kuziweka mbele yao kwa utekelezaji. kazi hizo ni
1.kuua mende wale wa chooni kwa kuwasaga on special machine
2. kusafisha choo kinachonuka
3.kuvumilia maumivu ya barafu yaani baridi
Washiriki waliochagua kuua MENDE , walipimwa katiaka maabara maluum kwa kutumia vipimo vya sadistic( sacale measuring sadistic impulses). waliwakuta na kiwango kikubwa cha huzuni ndani yao .
ERIN BUCKELS akabaini jinsi unavyokuwa na huzuni , kuna uwezekano mkubwa ukachagua kuua , yaani FURAHA yako ni kuona vitu watu wanaharibikiwa.
Hivyo kwa muktadha wangu, biblia haikukosea kusema mpende jirani yako kama nafsi yako ,,,, yesu alisema adui yako akiwa na njaa mpe chakula ,,,,, kwa lugha nyingine usipompa maana yake yake unampelekea kuwa na Huzuni itakayomfanya awe mkatili ,,,,,, nani mbaya hapo ,,,, kazi kwenu wachungaji na masheikh.
be inspired and respired with these books