Je una wazo zuri la biashara lakini huna mtaji? Ongea na mimi

Je una wazo zuri la biashara lakini huna mtaji? Ongea na mimi

queenkami

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2010
Posts
1,694
Reaction score
1,249
Habari zenu wakuu.
Natumai mnaendelea vyema na harakati za kusukuma gurudumu la maisha.

Wakuu kuna watu humu wana pesa hawana idea nzuri za biashara,na kuna wengine wana idea nzuri lakini hawana mtaji.

Mimi ninaandika uzi huu kuwalenga wale wenye idea za biashara lakini kinachowakwamisha ni mtaji.

Kama wewe unaamini una wazo zuri la biashara na huna mtaji,basi mimi nataka kushirikiana na wewe,mimi nitatoa mtaji wa kuanzia milioni 2-15 au hata zaidi kama nitashawishika na wazo lako.

Ninachotaka ni hivi,nataka faida itakayopatikana kwa biashara itokanayo na wazo lako itufaidishe mimi na wewe.

KUMBUKA:Sikopeshi pesa bali nataka tushirikiane ili sote tupate faida.

HUNIJUI SIKUJUI na siwezi kukuamini tu kwa maneno.Ili nikuamini inabidi utafute mbinu za UHAKIKA za kunifanya nikuamini.

Vile vile inabidi unishawishi vizuri ili niweze kuliamini wazo lako la biashara kabla sijawekeza pesa zangu.

Are you interested?
Please PM me.

Thank you and God bless you all.
 
Ndio maana nmesema ntumie email kwenye hyo then ntakwambia
 
Wazo langu litalindwa vipi? Hii siyo mbinu ya kuiba mawazo ya watu then uka implement kivyako bila kumuhusisha mwenye wazo?

Ni njia gani zinaweza kutumika kulinda wazo la mtu?

Huyu anatapeli watu wazo la biashara, we hujamshtukia hana lolote.
 
Wazo langu litalindwa vipi? Hii siyo mbinu ya kuiba mawazo ya watu then uka implement kivyako bila kumuhusisha mwenye wazo?

Ni njia gani zinaweza kutumika kulinda wazo la mtu?

Mkuu mwenye wazo lake ndiye anayetakiwa kujua namna ya kulilinda. kutokana na idea yenyewe ilivyo.
Mimi siwezi kujua njia za kulinda kitu ambacho sikijui.
 
sina wazo! ni jengo langu lipo mjini / nataka kulifanya nyumba ya wageni transformation itakost around 15~20ml tutawekeana mikataba ya kisheria na jinsi ya kurecover pesa yako kipindi cha biashara mean 3yr~5yrs/contract ukichukuwa gharama za ujenzi
huku tukigawana faida,mp, me if!
 
I have ila profit itaanza kuonekana,after one nd half yr 0.5% r.o.i and after that itaongezeka kwa 5.75%kila baada ya miezi mitatu
 
Protect your ideas into the world which ideas means money, ideas are most valeuable things handle with care!!
 
Back
Top Bottom