Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,555
- 4,758
Kumfanya kuwa binti ndo nini!?Anadai unabii wake unaamwambia tutaingia kwenye uchaguzi na tume tofauti na ile ya zamani, na Rais Samia hajachanguliwa na Mungu kuendelea kuongoza hii nchi lakini atalazimisha maana wapambe wanampush.
Matokeo yake Mungu hatopenda, atamfanya kuwa binti (atamtoa kwenye umri wa uzee)
View attachment 3315368
😆😆😆😆😆Kumfanya kuwa binti ndo nini!?
😀😀Tume ni mpya, ilikua NEC na leo ni INEC
Mtihani pekee wa unabii huu sio lazima uwe ni unabii wa Mungu,unabii mwingine ni unabii wa shetani!。The deviding line between unabii wa Mungu na unabii wa shetani is very thin!,kipimo pekee cha kupima ni unabii wa nani kati ya Mungu na shetani ni performance, unabii wa Mungu lazima utimie,unabii wa shetani huwa hautimii!。Anadai unabii wake unaamwambia tutaingia kwenye uchaguzi na tume tofauti na ile ya zamani, na Rais Samia hajachanguliwa na Mungu kuendelea kuongoza hii nchi lakini atalazimisha maana wapambe wanampush.
Matokeo yake Mungu hatopenda, atamfanya kuwa binti (atamtoa kwenye umri wa uzee)
View attachment 3315368
Tena ramri chonganishi.Mambo ya Ramli