Meno yaliyooza au kuvunjika yanaweza pata tiba ya kuziba ( kujaza dawa/ kofia jino ) ili kuondoa harufu mbaya kinywani, Maumivu, uvimbe ili kukuwezesha kutafuna chakula vizuri , kuondokana na maumivu , pia uweze kuwa na afya bora ya kinywa na meno
Baadhi Ya kazi Za Kuziba meno na kofia nimekuwekea hapa Picha mjongeo , kwa elimu zaidi na utatuzi wa changamoto za kinywa na meno unaweza wasiliana nami moja kwa moja
📍Dar Es Salaam, Pwani
Appointment : 0658950085