Je unadhani julius kambarage...

Je unadhani julius kambarage...

gpblaze

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
304
Reaction score
14
Je unadhani julius kambarage nyerere alikuwa mtu wa namna gani? Utajiri wake uko wapi?
 
Alikuwa mpenda usawa,utajiri wake uko vichwani mwa watanzania makini/wazalendo.
 
Kweli nakupata. Nifumbueni zaidi.
 
ni mtu mzalendo mwenye kuamini katika usawa na mwenye mtazamo wa kale sana wa kihafidhina especialy kwenye ku-define 'meaning of good life' ila kama baba wa taifa hili alielianzisha.
 
Ni mtu aliyekuwa anaona mbali sana.
 
Alikuwa mpenda usawa,utajiri wake uko vichwani mwa watanzania makini/wazalendo.

unaposema watanzania unajumuisha na viongozi wetu waliopo madarakani je viongozi wetu hawa wanao huo utajiri? Kwangu nadhani ni utakuwepo kwa wananchi wa kawaida tu na siyo kwa wanaccm wenzake
 
Alikuwa mpenda amani, usawa, mzalendo na asiyefumbia macho uzembe wa aina yoyote na mwajibikaji na mpenda maendeleo pasipokuchagua dini wala kabila
 
ukisoma mandiko yake, ukisikiliza hotuba ake na kuskia waut wengne wanavyosema juu yake utajua alikuwa ni mtu wa aina gani. kwa kweli hkuna jibu moja
 
unaposema watanzania unajumuisha na viongozi wetu waliopo madarakani je viongozi wetu hawa wanao huo utajiri? Kwangu nadhani ni utakuwepo kwa wananchi wa kawaida tu na siyo kwa wanaccm wenzake

ndo maana nimekuwa clear kabisa ''watanzania makini/wazalendo'' kama unaelewa maana yake mgogoro umeisha baina yetu,nimekujibu vema.
 
Alikuwa mpenda amani, usawa, mzalendo na asiyefumbia macho uzembe wa aina yoyote na mwajibikaji na mpenda maendeleo pasipokuchagua dini wala kabila

Alikuwa mkali sana
 
Tusadiki kama nyerere amerejea-unadhani nini anachoweza kufanya-au apatikane kiongozi kama yeye kwa sasa je anaweza kufanya mabadiliko? Au kachelewa
 
Back
Top Bottom