GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Unaambiwa hakuna Mchezaji wa Kikosi cha Kwanza na hata wale wa Akiba ( Subs ) waliocheza hapa Dar es Salaam na Fungulia Mbwa FC jana walicheza katika Mechi yao ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini ambayo hata hivyo Walishinda Goli 1 kwa 0.
Mamelodi Sundowns FC watauwa Mtu na inaonyesha hawatanii na wanataka kutoa Dozi Takatifu ili liwe Fundisho kwa Vilabu vyote Barani Afrika.
Mamelodi Sundowns FC watauwa Mtu na inaonyesha hawatanii na wanataka kutoa Dozi Takatifu ili liwe Fundisho kwa Vilabu vyote Barani Afrika.