GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ndio tuseme wamejificha wanafanya mazoezi wakiwa wamefunika sura zaoUnaambiwa hakuna Mchezaji wa Kikosi cha Kwanza na hata wale wa Akiba ( Subs ) waliocheza hapa Dar es Salaam na Fungulia Mbwa FC jana walicheza katika Mechi yao ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini ambayo hata hivyo Walishinda Goli 1 kwa 0.
Mamelodi Sundowns FC watauwa Mtu na inaonyesha hawatanii na wanataka kutoa Dozi Takatifu ili liwe Fundisho kwa Vilabu vyote Barani Afrika.
AaahaaaaUsikimbie tu uzi wako keshokutwa.
Uoga tu ndio umewafanya wapumzishe wachezaji wao wa first eleven. Walidhani Yanga ni mtelemko wakashangaa kikosi cha kuokoteza kimewabana mbavu kwa Mkapa.Unaambiwa hakuna Mchezaji wa Kikosi cha Kwanza na hata wale wa Akiba ( Subs ) waliocheza hapa Dar es Salaam na Fungulia Mbwa FC jana walicheza katika Mechi yao ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini ambayo hata hivyo Walishinda Goli 1 kwa 0.

Comments reservedUnaambiwa hakuna Mchezaji wa Kikosi cha Kwanza na hata wale wa Akiba ( Subs ) waliocheza hapa Dar es Salaam na Fungulia Mbwa FC jana walicheza katika Mechi yao ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini ambayo hata hivyo Walishinda Goli 1 kwa 0.
Mamelodi Sundowns FC watauwa Mtu na inaonyesha hawatanii na wanataka kutoa Dozi Takatifu ili liwe Fundisho kwa Vilabu vyote Barani Afrika.
Mamelodi wameomba hiyo mechi isogezwe mbele lakini wamekataliwa Kwa sababu Wana viporo vya mechi tatu.Unaambiwa hakuna Mchezaji wa Kikosi cha Kwanza na hata wale wa Akiba ( Subs ) waliocheza hapa Dar es Salaam na Fungulia Mbwa FC jana walicheza katika Mechi yao ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini ambayo hata hivyo Walishinda Goli 1 kwa 0.
Mamelodi Sundowns FC watauwa Mtu na inaonyesha hawatanii na wanataka kutoa Dozi Takatifu ili liwe Fundisho kwa Vilabu vyote Barani Afrika.
Siasa za chadema zimekuharibu akili hadi umezikimbia na sasa umehamia kwa matopolo. Pole sana dogo.Wangekuwa wanacheza na Makolo, wasingejali ni wachezaji gani watashiriki kwenye mechi yao ya Club Bingwa hivyo kusingekuwa na hiyo tahadhari ya kupumzisha wachezaji wao muhimu.
Halafu leo kuna Watu wanajidanganya kuwa Watashinda Afrika Kusini.Jamaa wana wachezaji 42.
Hi ndo point ya msingi,walipaishwa sana ila wakakutana na kisikiWanajua Wana mechi ngumu sana dhidi ya Yanga waliyodhani wataifunga kirahisi kifupi wanatetemeka huku wakijua nafasi Yao ni ndogo mno kuvuka hii hatua