Je, unadhani 'perfomance' ya Kinidhamu aliyoionyesha leo Beki Henock Inonga inatokana na lipi kati ya haya yafuatayo?

Je, unadhani 'perfomance' ya Kinidhamu aliyoionyesha leo Beki Henock Inonga inatokana na lipi kati ya haya yafuatayo?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
1. Mshambuliaji Hatari wa Yanga SC Fiston MINOCYCLINE Mayele amemuadabisha baada ya Kuifunga Simba SC goli zake Mbili na akipitia Kwake Beki Inonga?

2. Wana Simba SC tuliomchana live hasa katika Ukurasa wake wa Instagram na Twitter kutokana na Kucheza Kwake na Jukwaa, kupenda Sifa na Kujiamini Kwake kulikopitiliza ambako kulitugharimu na Kufungwa na Yanga SC Mechi ya Ngao ya Jamii kumesaidia Kumrekebisha na sasa ameanza Kujitambua?

3. Amekosa kujiamini tena kama Kawaida yake na amejawa na Hofu Kubwa kuwa kwa ile Rafu Mbaya na ya Kikatili aliyomchezea Kiungo wa Yanga SC Aboubakary Salum 'Sure Boy' anaenda Kuhukumiwa Adhabu Kali na Kupigwa Faini pia?
 
Mkuu sijaona uchambuzi wako kwenye ile game na YANGA. Ule uchambuzi wa kiufundi kabisa.
 
Back
Top Bottom