Msukuma Msomi
Senior Member
- Feb 6, 2017
- 173
- 149
Kwa jinsi hali ya Uongozi na Siasa za Tanzania zilivyo kwa sasa, unadhani ajenda ya mabadiliko ya Katiba itapata nafasi tena? maana naona source ya mijadala ya Bungeni imekuwa ni Instagram: yaani Waziri akiona mtu flani asiyependezwa nae Instagram, basi anampeleka Bungeni na kutangaza hatua za kuchukuliwa.
Maoni tafadhali.
Maendeleo bila katiba mkuu utajikuta unalia mwenyewe bila kupigwa maana utakuwa unashuhudia mali zinaondoka tu bila udhibiti wowote ule. Katiba ndo mambo yote si vinginevyo.TUNATAKA MAENDELEO CYO KATIBA MPYA
Katiba inaweza kupata nafasi ya kujadiliwa jambo la msingi walio karibu na mkuu watoe hoja zenye mashiko wakionesha faida za Katiba mpya na hasara ya kuendelea kubaki na Katiba ya zamani huku wakimhakikishia matumizi ya gharama za chini katika mchakatoKwa jinsi hali ya Uongozi na Siasa za Tanzania zilivyo kwa sasa, unadhani ajenda ya mabadiliko ya Katiba itapata nafasi tena? maana naona source ya mijadala ya Bungeni imekuwa ni Instagram: yaani Waziri akiona mtu flani asiyependezwa nae Instagram, basi anampeleka Bungeni na kutangaza hatua za kuchukuliwa.
Maoni tafadhali.