WAPIGA KURA WA USA HAWAHITAJI KUMBIWA NANI ANAFAA. FROM THEIR EDUCATION, EXPERIENCE, EXPOSURE THEY CAN MAKE INFORMED DECISIONS ON THEIR OWN WITHOUT INPUT FROM VYOMBO VYA HABARI!Kwa uzoefu wangu mdogo vyombo vya habari havitoi habari zao hivi hivi tu bali hupookea fedha ili kuirusha habari flani.
Katika muda wa saa 48 zilizopita uchambuzi wangu unaonesha kuwa kuna ishara kuwa baadhi ya vyombo vya habari vikubwa hapa nchini vimeanza kutuweka tayari kwa muelekeo wa ushindi wa Kamala Harris.
Nini maoni yako?
Unanifanya kama vile siangalii T.V na kupata habari za USWAPIGA KURA WA USA HAWAHITAJI KUMBIWA NANI ANAFAA. FROM THEIR EDUCATION, EXPERIENCE, EXPOSURE THEY CAN MAKE INFORMED DECISIONS ON THEIR OWN WITHOUT INPUT FROM VYOMBO VYA HABARI!
USA wanaweza kuwa wanasikiliza hotuba za wagombea kuona what they say about certain burning issues.....but not who should be the choice! hapa unaambia chagua fulani, na kwa vile tu mavi, tunasikiliza maana hatuna uwezo wa kufikiri!Unanifanya kama vile siangalii T.V na kupata habari za US
Bado unadhani hatuoni na kufuatilia habari za USAUSA wanaweza kuwa wanasikiliza hotuba za wagombea kuona what they say about certain burning issues.....but not who should be the choice! hapa unaambia chagua fulani, na kwa vile tu mavi, tunasikiliza maana hatuna uwezo wa kufikiri!
Unajua kiingerea cha kiamerika? unaweza kukisikiliza na ukafuatilia bila illusions!Bado unadhani hatuoni na kufuatilia habari za USA
Marekani siyo kama Tanzania. Ndo maana maraisi wa kule hawajiamulii kununua mandege wala kujenga viwanja vya ndege vijini kwao.Kwa uzoefu wangu mdogo vyombo vya habari havitoi habari zao hivi hivi tu bali hupookea fedha ili kuirusha habari flani.
Katika muda wa saa 48 zilizopita uchambuzi wangu unaonesha kuwa kuna ishara kuwa baadhi ya vyombo vya habari vikubwa hapa nchini vimeanza kutuweka tayari kwa muelekeo wa ushindi wa Kamala Harris.
Nini maoni yako?
Tutaipamba Russia ya Putin ambayo ni wapinzani tu wanapata ajali za kuanguka kutoka maghorofani na kunywa chai zenye sumu,Watu mnaipamba sana US... Marekani hiihii ambayo Trump analalamika kuwa kuna hujuma ya kutaka kuibiwa kura? Marekani hiihii ambayo majority votes haziamui moja kwa moja ni nani awe rais mpaka electoral votes za representatives?
Kila nchi na mifumo yao, mkiiga mtaumia!
Ndo maana kwenye mstari wa mwisho nimesema kila nchi na mifumo yao... Tusiponde vya kwetu bali tuviboreshe kivyetuvyetu na sio kufanya km watu fulani.Tutaipamba Russia ya Putin ambayo ni wapinzani tu wanapata ajali za kuanguka kutoka maghorofani na kunywa chai zenye simu,
Au tuipambe bongo??
Kwa nini ubuni kama unaweza ku copy kitu kizuri??Ndo maana kwenye mstari wa mwisho nimesema kila nchi na mifumo yao... Tusiponde vya kwetu bali tuviboreshe kivyetuvyetu na sio kufanya km watu fulani.
Huwa nakereka sana na kauli ya "wenzetu wamefanya hivi na sisi tuige". Ilibidi tuone wamefanyaje na sisi tubuni vya kwetu ambavyo haviendani kwa kila kitu na vyao
hata hizi facilities ulizozisema hawana , ni makanjanja ya "barabarani "kuwalamba wanasiasa ili mkono uende kinywaniTanzania hakuna vyombo vya habari,bali kundi la wajinga kwenye news room na air room.
Kwanini ukopy wakati unaweza kubuni?Kwa nini ubuni kama unaweza ku copy kitu kizuri??
Utamaduni wetu wa utawala ni wa machifu na watemi, mfumo tunaoutumia sasa hivi tumekopi kutoka magharibi.Kwanini ukopy wakati unaweza kubuni?
Ubaya wa kukopi utakufanya ufananishe kila kitu mpaka vile ambavyo havikufai...
Ila kubuni kutakufanya uweke vitu vinavyoendana na utamaduni wako na jamii yako
Wasomi wetu wasiwe watu wa kukopi kila kitu bali wajishughulishe wabuni vitu bora vya kuisaidia nchi na kuipa utambulisho wake