Je, unaenjoy nini pale Simba ilipigwa?

Je, unaenjoy nini pale Simba ilipigwa?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Salaam wakuu,

Makolo poleni na kipigo

Kila mtu Huwa na kile kinachomfanya aenjoy kwenye soka la hapa bongo na hivi Huwa havifanani from one person to another

Mfano: Mimi Huwa makolo wakikandwa Huwa na enjoy kelele/ lawama za mashabiki wa 5imba pale ambapo wakipoteza mechi, hata kama nilitaka kupiga show Kwa manzi Huwa naahirisha kuwatazama mahabiki wa Makolo wakilia mitandaoni [emoji23][emoji23]

Nb: Je, una enjoy Nini makolo wakipigwa?

1713565655885.jpg
 
Nafurahia sana nikiwa naangalia viclip vya mashabiki wa Simba wakitema povu.
 
Naenjoy wakianza kusema MO atokee,,,,mara try again hafai mara tufukuze viongozi wote
 
Naenjoy yanaposema Mangungu ni yanga 😂😂😂😂, roba tuliyoyapiga makolo safari hii ni hatari sana aisee
 
Back
Top Bottom