Kila mtu Huwa na kile kinachomfanya aenjoy kwenye soka la hapa bongo na hivi Huwa havifanani from one person to another
Mfano: Mimi Huwa makolo wakikandwa Huwa na enjoy kelele/ lawama za mashabiki wa 5imba pale ambapo wakipoteza mechi, hata kama nilitaka kupiga show Kwa manzi Huwa naahirisha kuwatazama mahabiki wa Makolo wakilia mitandaoni [emoji23][emoji23]