Je unafahamu Aina za Dental Crowns ? ( Kofia za jino )

Je unafahamu Aina za Dental Crowns ? ( Kofia za jino )

Chibule

Senior Member
Joined
Sep 25, 2024
Posts
171
Reaction score
230
20241111_205727.jpg
Neno Crown sio geni Sana , nahisi umelisikia. Ni aina ya meno bandia ambayo hutengezezwa maabara ili kuzibia jino / mapengo kwenye meno halisi yaliyotoboka au kutoka/ kuvunjika ili imusaidie mtu kutafuna chakula, Muonekano, Matamshi.
Kuna Aina zaidi ya saba za Dental Crowns
1. Metal ceramics
2. Porcelain fused to metal ( pfm ) Crowns
3. All ceramics crowns
4. All -porcelain crowns
5. Zirconia crowns
6. Resin Crowns- Temporary crowns
7. Stainless steel crowns ( zinatumika kwa watoto )

Hapa Chini nimekuwekea mfano wa Vodeo ya Mtu aliyewekewa Resin crowns- Temporary crowns ambazo zimempendeza na amekuwa na tabasamu upya

Iwapo una changamoto za Kinywa na Meno Na Unapatikana Dar es Salaam au Pwani Tuna Offisi zetu ( Dental Clinics ) tunatoa Huduma za Kinywa na meno..Unaweza wasiliana nami

📸Kabla na baada ya Matibabu Kukamilika

20241124_142220.jpg

20241125_123220.jpg
 
Back
Top Bottom