Shining Light
JF-Expert Member
- Jan 8, 2024
- 406
- 523
Mara nyingi tunapo nunua bidhaa huwa tunaangalia expiring date tu. Je, tunasoma alama zinginezo?
Hii inaitwa shelf life, na inamaana gani?
So shelf life in pale utakapo anza kutumia bidhaa hiyo inatakiwa kitumika katika muda fulani, Mara nyingi make-ups nyingi huwa na hii alama, pia skin care products. hivyo unaweza kuta bidhaa inaexpire miaka mitano mbele ila baada ya miezi mitatu ikaanza kuleta muwasho, au ikawa imeharibika.
Keep Refridgerator after opening inamanisha nini?
Kuna bidhaa ambazo pia huwa zinatoa maoni kuwa ukishafungua, hifadhi katika jokovu, mara nyingi nidhaa hizi huwa kama tomato, chili, ukwaju, chutney zinafahamika kama condiments* viungo vya kuleta ladha zaidi kwenye chakula. Pia siagi na jam kadhaa.
Use Within ni nini?
Kuna bidhaa zingine haswa maziwa, hutoa taarifa ya kuhifadhi kwenye fridge baada ya kufungua ila pia husema maziwa hayo yatumike kwa muda gani, Mara nyingi ni siku nne mpaka saba, hii pia hata baadhi ya juisi za box huwa na hizi taarifa.
Je, huwa unasoma bidhaa zinatoa taarifa gani ukisha nunua?
Pia soma: Dawa Kumalizika Muda Wa Matumizi (Expiration Date) Je, Zina Maana Yoyote