Pamoja na salamu kwa wana JF wote !
Naomba kama kuna mtu anafahamu dawa ya kutibu au kutuliza "FLATULENCE".
Kuna jamaa alinipa e-mail ya mtu mmoja ambae inasemekana anauza vitabu ambavyo vinaelekeza tiba ya hilo tatizo
nimejaribu kuwasiliana nae haonyeshi kutoa ushirikiano ( hanijibu), e-mail yake ni joseph@flatulencecure.net
kama huyu ndugu Joseph anapatikana hapa JF, naomba anijulishe ni jinsi gani nitaweza kumpata ili ninunue hicho kitabu chake.
Natanguliza shukurani.