Je, Unafahamu kuhusu Allan Lucky?

bomouwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,149
Reaction score
800
Habari wanajamvi,

Leo nimemkumbuka kijana aliepata ajira EATV kupitia auditions za kiushindani na hatimaye akapata ajira na kuanza kipindi cha SKOOONGA!

Ni kijana mbunifu kwa kweli, kutokana na kutokua nyumbani kwa muda baada ya kurudi wiki iliopita nikaona kipindi kuna kijana mwingine.

Naomba kujua Allan ameachana na EATV au anamajukumu mengine ndani ya EATV.

Ahsante!
 
Baada ya kuoa aliacha kazi na alitangaza hadi kwenye ukurasa wake wa facebook, amepata mchongo mwingine.
 
jamaa nilikua namkubali sana kwenye kipindi cha skonga.
 
Mimi huwa sifanyi chuki ila aina ya akina mchomvu wapo wengi asa pale clouds ni ovyo sana wanaua talent za watu
wameua talent za kina nani labda? Na kama hawafai why unawasikiliza?
 
Allan aliacha Skonga kitambo karibu miaka miwili imepita, jamaa alikuwa mkali, japo mi umri umesonga ila nilikuwaga naenjoi kukiangalia kipindi chake
 
Nyie mnasema mkenya kirahisi na mnaona sawa tu, ila wakenya wangesema Allan ni wao sio povu hilo kutoka, kuomba msaada wa kanusho mpaka wizara ya mambo ya nje. Tujikubali tunafanya vizuri.
 
Kwao ni Ruvuma mkuu
japo kwao ni ruvuma lakini allan ni fahari ya tanzania. laiti vijana wengi wa tz wangekuwa na ubunifu na iq kubwa kama yake soko la ajira la africa mashariki lingeomba poo kwa watz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…