Je unafahamu kwamba mwanafunzi(bweni) wa sekondari analipiwa na serikali USD 2000 kwa mwaka?

Je unafahamu kwamba mwanafunzi(bweni) wa sekondari analipiwa na serikali USD 2000 kwa mwaka?

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Source:Mwenyekiti wa wamiliki wa Shule binafsi za sekondari,alitoa taarifa hiyo wakati akichangia mada kwenye tuongee asubuhi Star Tv,alieleza kwamba mwanafunzi wa sekondari wa bweni(Tosamaganga) analipiwa na serikali dola 2000 kwa mwaka
 
Hebu acheni masihara!nyama mara 1 kwa mwezi,wali mara 2 kwa wk,makande mara 2.ugali full hakuna matunda,vitunguu mbogani wala mafuta.Wizi mtupu
 
Yani ndo ukweli huo senetor na tizo1,jamaa alitafuta habari kwamba serikali inagharamia sh ngapi kwa kila mwanafunzi wa bweni kwa mwaka alifuatilia shule mbili ya kwanza tosamaganga ndo akaona serikali inagharamia USD2000 kwa kila mwanafunzi kwa mwaka
 
Source:Mwenyekiti wa wamiliki wa Shule binafsi za sekondari,alitoa taarifa hiyo wakati akichangia mada kwenye tuongee asubuhi Star Tv,alieleza kwamba mwanafunzi wa sekondari wa bweni(Tosamaganga) analipiwa na serikali dola 2000 kwa mwaka
Za nini shule ya serikali?
 
Back
Top Bottom