Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Zawadi yangu wanipa lini??
 
Hakuna mikosi yoyote,ni dhana tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sahihi kabisa. Maisha ni hatua. Unachofanya leo matokeo yake ndio utayaishi kesho
 
Mara kadhaa nakuita inatoka black badala ya blue, nifundishe, maana nimejaribu mbinu tofautitofauti kimyakimya mpaka nimeamua kusema.Hebu wewe jaribu kulimention nione.@Da’Vinci
Dearly hua huruki nafasi kama hapo kwenye nukta hujaacha nafasi ndio maana haijatokea. client3
 
Mention lako, sio langu
Hata hiyo mbinu ya kuacha space nilishajaribu before
Jaribu tena kuna sehemu unakosea kwenye kuandika jina langu.
Anza @ Kisha Da'Vinci angalia usibananishe tag na sentensi
 
Nadhani ninatatizo kwenye personality yangu. Maana hata huku nilivo ni hv hv. Najiona kama ni kiumbe asiyefaa/asiye na maaana kuishi katikati ya watu. Ndio maana najistukia sana. I know this problem
Sasa we mwenyewe unajiwazia mabaya, halafu hapa unatoa Uzi jinsi ya kutoboa na nature[emoji16][emoji16]

Sisi kondoo wako itakuwaje?[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…