Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Mbona mimi nimeelewa.
 
Sijawahi kujua madhara yake, nimewahi kusoma faida zake nikapenda
Ulipendaje kitu bila kujua na hasara zake?? Uzuri wanao andika hayo mambo hua hawawapi na hasara zake.
Ok..Ukishafungua jicho la tatu then What??
 
Ulipendaje kitu bila kujua na hasara zake?? Uzuri wanao andika hayo mambo hua hawawapi na hasara zake.
Ok..Ukishafungua jicho la tatu then What??
Mkuu basi niambie hasara zake
 
Wakati unatafuta jinsi ya kufanya meditation kumbuka kua pia dark Dimension can Help you, hapa watu wanakwama. Dark Dimensio/Devil pia imesaidia wengi kufanya vitu kama meditation au kufungua jicho lako 3 as you call it. Binafsi nadhani hujui jicho la tatu ni lipi. Hivyo basi wakati unatenda kufanya meditation angalia unayafanya kwa kutegemea BackUp/msaada wa Nani. Genuine data zinatakiwa kutoka kwenye Server za Light Dimension/Mungu ndio data hizo zinakua hazina malware na Virus /Ubaya mbalimbali

Mkuu unajua lengo la kuweka mafungo ya kusifu na kuomba kweye nyumba za ibada??
 
Hapana sijui lengo ni nini
 
Hapana sijui lengo ni nini
Kusudi kuu ni kufanya meditation ambayo itawaweka karibu kiroho mwanadamu na Mungu pindi wawapo kwenye maombi na masifu hayo. Hiyo ndio meditation ya kikristo inayokua Backed up na Kristo mwenyewe Approved by Holly Trinity.
Kama unatamani meditation yenye matokeo chanya kwa kuzingatia imani yako fanya hiyo.
 
Sawa mkuu ntazingatia [emoji120]
 
Yabidi nitulize akili sana ndio niweze kuelewa bandiko lako mkuu, kuna mengi ya kujifunza humu.
 

@Da'Vinci

Thanks for the knowledge Da'Vinci. Perfecto 100%🖒
 
Asante ndugu mleta mada. Kwetu wageni wa jf
Naomba niulize nje ya majadiliano/somo
1. is Da'Vinci=Denvers?
2. Professional ya Da'Vinci wa duniani ni ipi?
3. What is Da'Vinci doing for his living?

Nataka nijifunze jambo kwa swali langu la 2&3.. Its like this guy is gifted.
 
Jinsi ya kunuia na je unashauriwa nioge Mara ngapi chumvi nafanyaje ili nitamke maneno bila kusema mfano nikasema nakataa roho zote za mikosi kwa jina la yesu je Ni sahiii kunuia hvyo au ninuiaje Da vincci Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…