Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Mkuu nanuiaje mfno nimetumia chumv huku nikisema nakaa roho zote za mikosi katk jina la yesu je Ni sahiii kunuia hvyo au natamka vip maneno ya kunuia
 
Guys hivi nimeeleweka kweli? Maana japo nimeandika mm nimejaribu kusoma ila naona kama sielewi hivi..Bahati mbaya sina njia nyingine ya kuandika hii post ikaeleweka😔😔 😢😢
Da' Vinci:

Binafsi nimekuelewa mkuu. Tuseme katika maisha tunayoishi macho yetu ni kama camera yanapga picha nakuhifadhi kwenye ubongo kuna picha nzuri na mbaya zote zinabaki kama kumbu kumbu nzuri na mbaya unavyozikumbuka ndivyo nature na yenyewe itavyokupelekea kufanya vile ambavyo akili inataka.

Hivyo tunashauriwa kwenye kufanya tafakuri kujitahidi akili yetu kuwa tupu ili kuweza kuruhusu nature tupokee mambo mazuri ilhali mabaya yapo tuyaone katika mtazamo wa kutujenga kifikira,akili,roho na mwili.

Ni kama unvyomiliki simu janja ni jukumu lako kuamua kipi ukiweke au kipi ukifute.
 

Da'Vinci

Nipe muongozo kwa injili ya 1Wakorintho 5:10 imejieleza tunapaswa kuongozwa na roho mtakatifu.

Muongozo tafadhali mkuu....
 
Na waafrika tulivyomazuzu mtu akinunua mboga za majani shambani kwa wakulima wadogo wadogo tunamuona ni maskini, Huku yule anayenunua mboga iyo iyo supermarket ndio tajiri. But Behind the scene unagundua kuwa waafrika ni watu ambao wanaendeshwe na EGO kwenye kila hatua ya maisha yao.

Leo kiongozi wafrika anaonafahari kuendeshwa kwenye gari ya milioni 500 huku raia wake wakifa njaa.

Ngoja niendelee tu, kudigest ulichokiandika kwa maana sitamaliza leo.

Da'Vinci
 

“Your mind is like this water, my friend. When it is agitated, it becomes difficult to see. But if you allow it to settle, the answer becomes clear.” Master Oogway

 
Additionally;

"He who controll the written paper, control the world"
 
Kila mtu akizaliwa hapa duniani huja na kusudi (Purpose) aliloletwa kulitimiza, kwa mantiki hiyo Mwalimu aliletwa kwa kusudi la kuikomboa Tanganyika kutoka kwenye mikono ya wakoloni,Mwalimu nyerere kazaliwa 1922 lakini mwaka 1945 akiwa ana miaka 23 tu aliweza kuhudhuria mkutano wa 5 wa Pan African Congress jijini Manchester hivyo basi waweza kuona ni jinsi gani alivyikua ashajua kusudinla yeye kuja dunianina kuanza kulifanyia kazi. mkuu hatima ya uhuruwa Tanzania ilikua mikononi mwa mwalimu, na kama inavyojulikana "You can escape your destiny, nobody can take away your destiny"

Mfano kidogo ili kuenea kwa imani ya kiislamu duniani allah ilibidi amletee Mtume maswahaba ambao walimsaidia pakubwa kusambaza uislam kwenye maeneo ya makafiri, vilievile ili YESU kueneza wokovu duniani ilibidi awe na wanafunzi na mitume wa kusambaza Habari za wokuvu ulimwengu mzima, kupitia wanafunzi wake Yesu aliweza kutimiza kusudi lake la kueneza wokuvu, Mwisho wa siku tunasema Yesu katuleta wokuvu mpaka kwetu huku ndani ndani ( ila hatusemi mitume wanatakiwa ndio wtambulike kama walioleta wokovu duniani bali Yesu) .

Kwa mantiki hiyo namaanisha kwamba ili kutimiza kusudi fulani ulilopewa na Mungu basi Mungu hukuandalia watu ambao watafanya kazi bega kwa bega ili kutimiza kusudi lako (mfano mzuri ni wazazi/walezi). hivi mkuu unatambua kua kuna watu hua wamezaliwa kusudi lao la kuzaliwa likiwa ni kuja kumsaidia mtu fulani aje kutimiza kusudi lake alopewa na Mungu,mfano mzuri ni Yohana mbatizaji. kusudi lake hata kwenye vitabu vinasema alikuja kuandaa njia/kusudi la Masihi Kristo....Hivyo hivyo kwa Mwalimu wetu Kuna watu wengi sana waliletwa hapa Tanganyika kuja kutimiza kusudi hilo. Ili kutimiza kusudi lake la kuiletea nchi yetu uhuru ilibidi watu wengi washirikiane nae. hatimaye aliweza kufanikiwa kuleta uhuru, hivyo basi hakuna suala la udini wala nini The Godman Nyerere atabakia kutambuliwa kama shujaa aliyeleta uhuru Tanganyika haijalishi ni wangapi walishirikiana nae.
 
One day rafiki yangu alikua anakuja kusoma nami nyumbani ila kanizidi kidato kimoja.. siku hiyo nililala mapema ili akija saa 5 usiku niamke tusome. Alikuja akaniita nikiwa nimelala nikaitika nikiwa bado nimesinzia. Si nikaanza kuota kwamba nimeamka nikafungua mlango akaingia ndani tukaanza kusoma topic flani akanielekeza nilikua siijui asubuhi ndio naamka namuangalia kitandani kama kalala simuoni.

Mimi nilijua kwamba niliamka nikamfungulia tukasoma kumbe ilikua ndotoni qjabu kile kitu nilichosoma ndotoni nilikua nakikumbuka. Later baada ya kujikita kwenye mambo ya Kiroho nikagundua nini kilitokea..
Nilikuwa na mtindo wa kulala darasani na kwenye discussion , ila nakuwa nasikia lila kinachoendelea na nakuwa nimelala kabisa, nikiamka naendelea malipo vizur yu, tena kwa kusight mlichoongea nilipokuwa usingizini.
Hii ni enhanced Senses kwa kutumia subconscious mind. So inawezekana umepewa uwezo huo toka kuzaliwa au uliEnhance subconscious mind yako ikawa hivo. Yote yanawezekana... Mimi nawaambiaga mkiniita mara tatu nikiwa chumbani kama sitaitika ni either nimekufa au nimeamua kudharau kuitika.
Pitia hii mada unaweza kupata kitu
 
I'll always be there for you coz I pledged my life and alligence to all the creatures on the universe.
Life is full of lots of up and downs
And the distance feels further
When you're headed for the ground
And there is nothing more painful than to let your feelings take you down
It's so hard to know the way you feel inside

When there's many thoughts and feelings that you hide
But you might feel better if you let me walk with you
By your side
And when you need a shoulder to cry on
When you need a friend to rely on
When the whole world is gone
You won't be alone, cause I'll be there
I'll be your shoulder to cry on
I'll be there
I'll be a friend to rely on
When the whole world is gone
You won't be alone, cause I'll be there
 
Leo nimetimiza masaa 211,968 duniani..
Bado safari yangu ya kutafuta na kutimiza na kuishi purpose yangu ya kuja duniani hapa haijafika kikomo.
Natumaini nitafanikisha kuiishi purpose yangu✌️
May The Almighty Guide me
 
Nimenote ku-search kwa Duck Duck Go na kuoga maji yenye chumvi isiyopita kiwandani
Guys hivi nimeeleweka kweli? Maana japo nimeandika mm nimejaribu kusoma ila naona kama sielewi hivi..Bahati mbaya sina njia nyingine ya kuandika hii post ikaeleweka😔😔 😢😢
 
Asante ndugu mleta mada. Kwetu wageni wa jf
Naomba niulize nje ya majadiliano/somo
1. is Da'Vinci=Denvers?
Denver ni mjii huko Corolado na Danvers ni jina la kiume. Da'Vinci na Danvers ni majina nayoyatumia humu. (Though I decided to stick with Vinci)
2. Professional ya Da'Vinci wa duniani ni ipi?
Da'Vinci mimi....?
3. What is Da'Vinci doing for his living?
Vibarua vya ujenzi na kulima
Nataka nijifunze jambo kwa swali langu la 2&3.. Its like this guy is gifted.
Yeah I'm kinda Gifted but not that special. Mimi ni mjumbe tu Kuwafikishia ujumbe nyie hadhira. Mungu hunifunulia na kunitumia nifikishe vitu fulani kwa mnaonisoma humu!
 
Duuh leo ndio inajibiwa, ulijibu wote kasoro wenye mikosi wachache
Hii ID ilipotea muda mrefu sana mwaka na miezi. Labda notificación hukuiona kipindi hiko Natumaini niliijibu.
Huna mikosi kabisa and you won't be
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…