Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Hata hapo uliposema " kama kitu kipo negative take it as it's".
Negative kwa maana ipi!?
Sidhan kama negative side tunatakiwa kui-embrace.
 
Duuh!!! Ukipendacho na matamanio ni kitu sawa!?
Hizo matamanio tunasema ni wishfull thinking unataman umilik ndege na uwezo
wako ni kumilik baiskel.
Same applies to you.
 
Kuna kitabu cha Robert schuller usema you is what you think
Duuh!!! hii dhana bado kuna wenye damu wanaikumbatia!?
Your what you think, ni dhana ilikuwepo kabla ya kujua mawazo(fikra) tuliyonayo
yanatoka wapi.
Kwa sasa mawazo yako watu wanaweza kuya-alter kulingana na hitaji lao
kwao, si ajabu kuona Ronaldo kwenye matangazo ya pepsi aliwa wa afya na furaha tele
na watu wakashawishika kunywa pepsi, badala ya mtu aliye lazwa hospital kwa kuugua
kisukari.
Tupo kwenye ulimwengu wa mind control unaweza kusema "your what you think"
wakati kunawatu wanaamua what to think!?
 
Tafsiri yake ni kwamba unaweza timiza ndoto zako, maana kuna fikra na kuzifanyia kazi fikra Ili ziwe halisi ni vitu viwili tofauti
 
Tafsiri yake ni kwamba unaweza timiza ndoto zako, maana kuna fikra na kuzifanyia kazi fikra Ili ziwe halisi ni vitu viwili tofauti
Mbona unapingana na ulichoandika..
Fikra ni tofauti na kuzifanyia kazi so your what you think inahusikaje hapo?
 
Uko shallow
 

Our destiny is to die iko wazi.
Nimeshangaa sana hili swali kuulizwa na wewe.

Nadhani nimekosoa hahaha!

Hata hapo uliposema " kama kitu kipo negative take it as it's".
Negative kwa maana ipi!?
Sidhan kama negative side tunatakiwa kui-embrace.
Let me talk about myself.
Mimi malengo yangu ni kusaidia watu katika mambo fulani fulani.
Lakini kwa uwezo wangu siwezi ila Naona naweza kuwasaidia hata kwa mawazo ndio maana hua naandika vitu humu jf kwa kutumia muda na ghalama zangu.
Je kwa mantiki hii nakua sijatimiza malengo yangu?? Hayo unayoRefer wewe?
 
Nipende kuwashukuru watu wote 400+ mlio Like mada. Natamani likes zenu ningezigeuza zikawa $$$, ningefurahi sana.
Mbarikiwe kwa kupenda fikra zangu✌️
 
Duuh!!!
Umeshindwa kujisaidia mwenyewe unaweza kuwasadia wengine kweli!?
Napenda unachokifanya lakini lazima huo msaada uanzie kwako ndg.
If you try hard enough you will have all that you want.
 
Duuh!!!
Umeshindwa kujisaidia mwenyewe unaweza kuwasadia wengine kweli!?
Napenda unachokifanya lakini lazima huo msaada uanzie kwako ndg.
If you try hard enough you will have all that you want.
Kati ya Communalism na capitalism unapenda ni mfumo gani ungetawala dunia??
 
Karne ya leo hairuhusu ujamaa!!!
Katiaka jamii ambayo mbwa mkubwa anamla mbwa mdogo,
Kutokula chochete haikufanyi kuwa mwema/salama!.
Lakini mkuu no matter how the outside world push you inabidi ubaki yule uliye ndani mwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…