Je, unafahamu kwanini maisha yako yameandamwa na mikosi pamoja na Mambo mabaya?

Somo kubwa sana hili, check huyu mtaalamu anaeleza kwa lugha nyepesi na kwa vituo!

 
Ukisikiliza hii hakika utaondoka na kitu kikubwa sana

 
Ufafanuzi kidogo kwenye hili wakuu hapa sijaelewa vizuri. [emoji116][emoji116]
Ili kuondoa kushikamana na mambo mabaya maishani inabidi mtu ujitambue wewe binafsi unapenda nini hasa. Je unapenda Kuwa mwema? Unapenda kuiba?unapenda mwanamke wa namna fulani?unapenda mwanaume wa aina fulani nk nk.. ukishajua ukipendacho basi futa yale uyapendayo nawe yatakua yanashikamana nawe.
 
kwan weusi ni mkosi kama ni hvyo basi waafrica wote wpo kimkosi tu
 
uzi unamaana nzuri ila umekuwa wa kipumbavu kusema wanawake weusi ni mkosi .[emoji78]
 
Mambo mazuri hayaji kwa kuoga chumvi,ni kufanya kazi,ulaya,south afrika,US,Scandinavia, maisha yao mazuri hayakuja kwa sababu Kuna shekh au mchungaji aliwaambia Wana roho ya kukataliwa kwahiyo waoge maji ya chumvi!!walifanya kazi,naelewa umuhimu wa conscious na subconcuous mind,lakini hata kama ndani ya roho yako umejaza picha ya mavogues,Benz,majumba,huwezi kuyapata bila kufanya kazi,bakheresa,Dangote,diamond,hawakuanza na shule kuhusu subconscious Ili watajirike,
 
Mada yako ni nzur ila ulipokosea wapi "mweusi" hii rangi ata sjui imetenda baya gani kwa mungu asa MTU akiwa mweusi ndo mbaya??
 
Nimeielewa. Hongera Sana iko very logical
 
soma vitabu hivi, Power of subconscious mind, Law of attraction, Powe of Neuroplasticity, ndio utamuelewa mtoa post. Tafuta na video za Bob Proctor
 
Nimekuelewa Sana mkuu.Ahsante kwa ujumbe wako mzuri
I believe that life is a prize
But to live, doesn't mean you're alive
Cause everybody dies, but not everybody lives
 
Nmekuelewa mkuu ila kipande cha mwisho umemaliza vema sana… kama mtu hujaelewa nawakika hujaandikiwa wewe
USHAURI kwa wasio elewa was uchukue.
Endelea kuperuzi utakutana na utakacho elewa. Pia mimi mtandaoni sio kila ninachokisoma naelewa. Ambacho sielewi unawaachia waelewa wanafurahia chakula. Asante sana mkuu 🫡 nmejifunza kitu.
 
Nipe suggestions wapi ni-edit mkuu.
Sijaona sehemu yoyote ya ku edit,nlichogundua kwenye huu Uzi kama kichwani ni mtupu kabisa kwenye masuala ya Computer knowledge,huwezi kuuelewa kabisa hasa apo mwanzoni[emoji2][emoji2]
All in all Uzi umesimamia kucha big up[emoji106][emoji106]
 
Absolutely sir.ahsante kwa kunielewa na mchango wako!
Salute
 
Sijaona sehemu yoyote ya ku edit,nlichogundua kwenye huu Uzi kama kichwani ni mtupu kabisa kwenye masuala ya Computer knowledge,huwezi kuuelewa kabisa hasa apo mwanzoni[emoji2][emoji2]
All in all Uzi umesimamia kucha big up[emoji106][emoji106]
Mimi nawaasa watu wasidharau elimu ya computer..japo wafahamu hata basics tu...dunia ya sasa na huko tuendako kama hujui kompyuta lazima ubaki nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…