Je, unafahamu maajabu ya Georgia Guide stones? Ziko Marekani na zimeandikwa kwa kiswahili pia

Nyamgluu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
3,160
Reaction score
1,726
Ni mawe matati yaliyowekwa huko Marekani na watu wasiojulikana mpaka leo hii yakitoa amri 10 zingine za dunia kwa lugha 8 za dunia kikiwepo na kiswahili.

Sababu na tumia simu siwezi weka maelezo mengi kwa kiswahili. Naomba wadau kama mshana jr MziziMkavu et al ku nyambulia zaidi.

http://vigilantcitizen.com/sinistersites/sinister-sites-the-georgia-guidestones/

Ni mambo ya ajabu na mysterious. Na maelezo yake haya 🙁 anayeweza kutafsiri na atafsiri) Sinister Sites: The Georgia Guidestones.

Wana Jamii Intelligence, this is intelligence of the highest order.

Read and understand

 
Mhhhhh yule aliyelipia hilo jiwe liwekwe sio mtu nzur hata kidogo !
Kuna sentensi moja inasema kuwa population ya watu duniani itabid ipungue kufkia 5 millions ! Kwa environmental calamity gani sijui huko ! Sasa kama ni kweli sijui itakuwaje
 
Kwanini Kiswahili kimekuwa included humo?
 
Kwny kiswahili hapo wamechafua kwa kuandik f**k.....!!,ila kiswahili kimenyooka nafikiri aliyeandik alikuw ni mbongo tena inawezekana akawa ni sir chande!
 

Attachments

Mwenye link ya YouTube kuhusu hii topic msaada pls
 
inasadikika kuwa freemasons walichonga na kisha kuyasimamisha hayo mawe yaitwayo "Georgia Guidestones"!
Na freemasons walitumia lugha kadhaa kuandika huo ujumbe,na lugha mojawapo iliyotumika ni Kiswahili!
Nashkur kwa ufafanuz,
Lakini...
Hayo maneno/amri kumi nyingne zinaonekana zina maana pana iliyojificha.
Ningependa kujua zaidi khs hzo amri 10 kwa mapana zaidi.
 
Duuuh hii ni habari mpya sana kwangu..barikiwa sana jf
 
IPE MAUMBILE NAFASI
IPE MAUMBILE NAFASI



HII dunia ina mambo na mikwara mingi sana

Sasa watu chini ya mili500
China na india duuuu

KILA TAIFA LIJITAWALE

NA yaliyo ungana sijui vip,amri nazo..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…