Je,unafahamu Maisha halisi ya ASP Muhammad Kirumira*?

Bila shaka yulè jamaa mvaa masuti makubwa makubwa na mkofia wake ndo katekeleza mauaji haya
 
Mungu akuongoze Dogo. Nakutabiria makubwa yenye Henri huko mbeleni. Inshaallah
 
Watu wenye kujali utu na ubinadamu bado wanaishi dunia hii.Kamanda katimiza wajibu wake! Somo kwetu Tz, unaweza mshawishi Kiongozi/ama yeyote akupigie makofi mikononi! Bali moyoni yupo kinyume nawe!Acheni Kuua umoja wa taifa letu TZ!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…