Je unafahamu????

Je unafahamu????

Smarty

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
776
Reaction score
428
Anapopatikana daktari bingwa wa magonjwa ya kifua hapa dar es salaam.....tafadhali nifahamishe kifua kinaniuma balaa...
 
Asante sana mkuu....tatizo la muhimbili wanalazimisha uanzie wilayani na uwe na barua ya rufaa..
 
Pole sana.

Leo nilikuwa naangalia The Doctors asubuhi nikaona ugonjwa mmoja wa kifua ukanistua sana. Kumbe kuna wakati mshipa wa damu unaojulikana kama Aorta unaweza kupasuka ukasababisha kifo ndani ya muda mfupi. Wataalam hawa walisema kwamba ukipasuka damu inakuwa haiendi miguuni mikononi na sehemu nyingine. HAtari sana niliogopa mnoo. Maumivu yake zaidi kifuani.
 
Back
Top Bottom