Leo nilikuwa naangalia The Doctors asubuhi nikaona ugonjwa mmoja wa kifua ukanistua sana. Kumbe kuna wakati mshipa wa damu unaojulikana kama Aorta unaweza kupasuka ukasababisha kifo ndani ya muda mfupi. Wataalam hawa walisema kwamba ukipasuka damu inakuwa haiendi miguuni mikononi na sehemu nyingine. HAtari sana niliogopa mnoo. Maumivu yake zaidi kifuani.