Je unafanya biashara ya bidhaa za chakula?pitia hapa.

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,160
Reaction score
693
Habari wakuu!

natumaini nyote ni bukheri wa afya ngoja niende kwenye mada moja kwa moja,kama wewe ni mtengenezaji wa bidhaa za chakula kwa mfano,unga wa lishe,unga wa mhogo au bidhaa za kusindika kikubwa ziwe zimefanyiwa package nzuri na zina ubora,ni pm kama unataka fursa ya masoko ya kuuza bidhaa zako kirahisi nakuwa pata wateja wengi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…