Je , unahela?

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
978
Reaction score
2,313
Unalalamika ndugu hawakuthamin, unahela?

Unasema wadogo zako hawakuheshim, unahela?

Ooh mke wangu anadharau, unahela? Umemzidi hela?

Jirani zangu/ wapangaji wananiroga, je unahela?

Wamefanya shughuri yao hawakuniambia, je unahela?

Nikitongoza nakataliwa, ok je unahela?
Mashemeji /mawifi wananichukia, je unahela?

Mtoto wa fulan kaja kwangu hajafika, ndio. Je unahela?

Nimefika kwenyeshughuri watu kma hawanijui, ata hawajanijali. Je unahela?

Wapangaji maneno maneno , na leo ntawasema nimewaamulia. Je unahela?

Mimi sipendagi magari makubwa , napenda vidogo, je unahela?

Ulimwengu tulionao matatizo mengi yanaweza tatuliwa kwa pesa, tutafute pesa vijana, na Mungu awe mbele pia . umasikini ni janga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…