Bwasheemweusi
Member
- May 6, 2017
- 39
- 17
Habarini wanajukwaa
Sekta ya utalii ni sekta ambayo inaliingizia taifa letu fedha nyingi za kigeni, pia ni sekta inayokua kwa kasi kutokana na uwepo wa vivutio vingi tulivyobarikiwa hapa nchini.
Kama ambavyo tatizo la korona taratibu limeanza kuzoeleka na watu duniani kote ,ni matarajio ya yetu kwamba hata sekta ya utalii itarudi katika hali yake ya kawaida hivi karibuni kama ilivyokuwa kwa biashara nyingine, wakati tukisubiria mambo yazidi kukaa sawa kwasababu hadi sasa kuna watalii wameanza kuja ,pia watalii wa ndani wameanza kutembelea vivutio vyetu, hivyo basi ni wakati muafaka wa kuanza kuifanya ndoto yako ya kumiliki kampuni ya utalii kuwa kweli.
karibu kwa maswali na ushauri kuhusiana na biashara hii pia bussiness plan zipo zilizo andaliwa kwa ajili ya hii biashara zikiwa na zimekamilika katika kila kipengele kwa gharama nafuu.
kama unahitaji kuboresha uwepo wako wa mtandaoni unakaribishwa tunatengeneza website bora kabisa za kisasa ,tunafanya internet marketing ya kuhakika karibu tujadiliane kuhusu internet marketing stategy yenye kuleta matokeo chanya kwa kushirikiana na wataalamu wabobevu katika tasnia hii ambayo ni muhimu sana katika hii biashara.
ni dm kwa changamka tuko katika msimu wa ofa kupunguza machungu ya korona
linalowezekana leo lisingoje kesho, anza sasa.