Je unahitaji Digital camera,touch phone au laptop kutoka EU MARKET?

Je unahitaji Digital camera,touch phone au laptop kutoka EU MARKET?

Serendipity

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2009
Posts
486
Reaction score
43
Kwa yeyote anaye hitaji digital camera: sony,fujitsu,canon,Ricoh etc (zote zinanzia 12 megapixel) Range ya bei Tsh 280,000 to 340,000
2. Digital Camcoders; Range Tsh 600,000 to 1,400,000
3. Laptops: Dell, toshiba,Hp range Tsh 800,000 to 1,500,000
4.Touch phones eg Sony, Prada, LG, Sonyericson etc 200,000 to 380,000
Bidhaa hizo ni GENUINE na zinatengenezwa UK,Ireland au German kwa ajili ya kutumika EUROPE (i.e for ECC), which means they are of extremely high quality, you can not under any circumstance dare to compare with those flooded in Tanzania market,especially made from China and in most cases, underquality.
Kama kunamtu anahitaji kitu chochochote kati ya hivyo hapo juu, tuwasiliane, ninategemea kuju dar es salaam tar 23 December kwaajili ya sikukuu ya christmas na mwaka mpya.
 
This is a genuine advert, if you are desperately in need of any of above items, we can communicate via the moderators of jamiiforums (in order to ensure that the transactions are highly secured), though I have done this before to my colleagues and they really appreciated... by the way, WANDE is my real sir name, if there is anybody here who knows me can verify that.
 
Kwa heshima na taadhima naomba kukaribishwa katika ukumbi huu, nimevutiwa sana na jamii forum na nategemea kujua meng kupitia hapa aksanten 😛
 
Kwa heshima na taadhima naomba kukaribishwa katika ukumbi huu, nimevutiwa sana na jamii forum na nategemea kujua meng kupitia hapa aksanten 😛

mwe! karibu bana, umejitambilisha sebuleni? au umechoma ndani 1x1! huku ni sehemu ya matangazo madogomadogo, kabla hujaingia huku kula list ya vyumba ving kidogo-humu ndani utapata kila kitu!, ukisoma chn kidogo utaona sehem ya kujitambulisha. Karibu JF! Ila nakutahadharisha kitu kimoja!.....................ukizoea HUTAACHA!
 
Ukija Tz utafikia wapi? nikitaka kukuona nitakupataje? Na hizo items ni mpya au used/ refurbished? naomba maelezo kidogo niko interested,asante
 
Nipe specifications za Toshiba laptops zinazocost TShs 800,000/= lakini zisiwe Intel Celeron na makes za touch phones zinazocost TShs 200,000/= through my e-mail address <johvet@yahoo.com>
 
Nipe specifications za Toshiba laptops zinazocost TShs 800,000/= lakini zisiwe Intel Celeron na makes za touch phones zinazocost TShs 200,000/= through my e-mail address <johvet@yahoo.com>
hapo utafulia! watu hawanunui laps kwa kuangalia gharama! watu hununua laps kwa 'specifications' unazotaka! then ndio unaagiza/unaenda dukani unaangalia lap yenye 'specification' unayotaka ina gharama gani???
 
Ukija Tz utafikia wapi? nikitaka kukuona nitakupataje? Na hizo items ni mpya au used/ refurbished? naomba maelezo kidogo niko interested,asante
Mimi nitafikia kwenye makazi yangu ya kigamboni, ila naweza kupatikana maeneo ya Muhimbili hospital, hizi bidhaa ni mpya kabisa, yaani ni directly from manufacturers! pia kama uko interested inabidi uweke order ya kitu unachohitaji ili niweze kuja nacho. Nitakuwepo bongo mpaka tarehe 5 au 6 January. Tunaweza kuwasiliana kwa sms 00353 864 037 036 au email dpwande@gmail.com
 
Mkuu, hebu nchekie kisha uniambie bei ya Nokia N95 8GB Genuine nione kama nitaimudu nikuambie uje nayo. asante!
 
Nina hitaji i-phone(touch) na has apple unapatikanaje?
napatikana kwa dpwande@gmail.com

iPhone 3GS 16GB,

Features;
• Display:
- 3.5-inch (diagonal) widescreen Multi-Touch display
- 480-by-320-pixel resolution at 163 ppi
- Fingerprint-resistant oleophobic coating
- Support for display of multiple languages and characters simultaneously
• Capacity16GB flash drive
• Cellular and wireless:
- UMTS/HSDPA (850, 1900, 2100 MHz)
- GSM/EDGE (850, 900, 1800, 1900 MHz)
- Wi-Fi (802.11b/g)
- Bluetooth 2.1 + EDR
• Camera, photos, and video:
- 3 megapixels
- Autofocus
- Tap to focus
- Video recording, VGA up to 30 fps with audio
- Photo and video geotagging
- iPhone and third-party application integration
• Audio playback
- Audio formats supported: AAC, Protected AAC, MP3, MP3 VBR, Audible (formats 2, 3, and 4), Apple Lossless, AIFF, and WAV
• Location:
- Assisted GPS
- Digital compass
- Wi-Fi
- Cellular
• Connectors and input/output:
- 30-pin dock connector
- Built-in speaker
- Microphone
- 3.5-mm stereo headphone minijack
- SIM card tray
• Sensors:
- Accelerometer
- Proximity sensor
- Ambient light sensor
• Power and battery:
- Built-in rechargeable lithium-ion battery
- Charging via USB to computer system or power adapter
- Talk time: Up to 12 hours on 2G / Up to 5 hours on 3G
- Standby time: Up to 300 hours
- Internet use: Up to 5 hours on 3G / Up to 9 hours on Wi-Fi
- Video playback: Up to 10 hours
- Audio playback: Up to 30 hours

• Size and weight:
- Height: 115.5 mm
- Width: 62.1 mm
- Depth: 12.3 mm
- Weight: 135 grams

PRICE: 1,190,000

Kama umeridhia bei na specs tuwasiliane kaka!
 
Back
Top Bottom