Je Unahitaji kuagiza gari?

Je Unahitaji kuagiza gari?

thanks, ngoja tutasambaze habari kwani binafsi sina mpango
 
nahitaji HIno Bus pasengers 29 bei gani kwa wa Jep? la mwaka 1991 mpaka bongo bei gani na ushuru nijulishe ili tuweze kuwasiliana kwa mail yako ok mukubwa
 
Kama ni kuagiza kutoka Japan, kuna unafuu gani kuagiza kupitia mtu wa kati na mtu kuagiza mwenyewe directly?
Kama unayo showroom na umeshaagiza tayari yako incountry then it will make sense.
 
Utapata unafuu kwa sababu,nimekuambia nakusaidia kupata gari kutoka kwenye auctions za Japan,pia kumbuka kuagiza mwenyewe kupitia online kuna risks zake.Pia nina showroom Dar ,ukihitaji tuwasiliane.
 
nahitaji HIno Bus pasengers 29 bei gani kwa wa Jep? la mwaka 1991 mpaka bongo bei gani na ushuru nijulishe ili tuweze kuwasiliana kwa mail yako ok mukubwa

Tuwasiliane mkuu,Hino utapata kwa bei nzuri tu.Ushuru nitakuunganisha na clearing agent wangu hapo Dar akujulishe ushuru ni kiasi gani.
 
Kama ni kuagiza kutoka Japan, kuna unafuu gani kuagiza kupitia mtu wa kati na mtu kuagiza mwenyewe directly?
Kama unayo showroom na umeshaagiza tayari yako incountry then it will make sense.
dada usiwe nyuma kiasi hicho huo ni ubaili harafu kumbuka kuwa hata Jep kuna kanya boya kama kawa, sa bora umwagize mtu akununulie? kwanza mi nimeshuhudia mtu kaagiza gari toka japani aliloliona ktk net siyo aliloletewa,
 
sioni kama yuko nyuma, anajaribu kuwa MWANGALIFU tu, huyo atayemwagiza anamwamini vp?
 
Huyu inaelekea ni dalali, ujumbe wake ni huu, WAJINGA NDIO WALIWAO, wasio wajinga je!!??
 
Back
Top Bottom