JE UNAHITAJI KUFANYA KAZI NA PRODUCER T-TOUCH?

JE UNAHITAJI KUFANYA KAZI NA PRODUCER T-TOUCH?

ricktz

Member
Joined
Jun 25, 2016
Posts
20
Reaction score
11
Katika kile tunachokiita kusapoti vijana wenye vipaji, Theclick101 imekuandalia utaratibu maarumu ambao wasanii wachanga watapata muda wa kukutana na producer anayefanya vizuri kwa sasa na nyimbo ya TOO MUCH, MUZIKI, KOMELA, MR NAY, CHAFU POZI, LIGI NDOGO na nyingine nyingi. Anaitwa Mr T- Touch, tupo kwenye mazungumzo ya mwishoni na producer uyo ili tuweze kumleta kwenye mkoa ulipo na utafanya nae kazi kwa bei nafuu sana. Weka ODA YAKO na mkoa uliopo kwa kupitia simu namba 0718250809 ili mazungumzo yatakapo kamilika uwe mmoja wa wasanii watakao fanya nae kazi.
ed9a9988db7b0a9cab8937a90381d61c.jpg
 
ahahaaahhaaa...mwambie anitafute yeye mwenyewe....anahitaji kusaidiwa pia. AM THE DR'S DR...HE NEEDS A DR......kama haamini mwambie asikilize wimbo wa dr. dre feat eminem...I NEED A DR...
 
+7869564324 Mwambie na yeye anitafute hapo!
 
Back
Top Bottom