Je! Unahitaji kukopeshwa Solar system? Soma hapa

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,598
Wadau naamini hamjambo!

Kuna Kampuni inajishughulisha na ukopeshaji wa Solar system kwa masharti nafuu sana. Utakopeshwa mtambo huo kwa masharti nafuu na utarejesha baada ya miaka mitatu baada ya kufungiwa. Kama unahitaji tafadhali wsiliana nami ili niweze kukupa utaratibu wao.

Hata kama wewe tayari una umeme wa Tanesco; bado huduma ya solar ni ya muhimu kwako kwani umeme wetu wa Tanesco hauna uhakika na kibaya zaidi wanapenda kukata umeme nyakati za usiku ambapo usalama wa nyumbani kwako unakuwa hatarini. Binafsi nimeishajiunga na huduma yao na ndo maana nimeona nikushirikishe wewe mdau mwenzangu wa hapa JF.

Labda nifafanue kwa ufupi;
Category one: Inawasha taa 10, inachaji simu, unawasha Tv ya solar
Category two: Inawasha laptop, taa 15, Tv ya Solar na kuchaji simu
Category three Inawasha taa 20, Jokofu, Tv na kuchaji simu

Ukishalipia unapewa vifaa vyako unaondoka navyo; then mafundi wao wanakuja kukufungia nyumbani kwako bila gharama yoyote.

Kama una swali lolote niulize nitakujibu.
Napatikana kwa 0754533543.
 
Wadau naamini hamjambo!



Ukishalipia unapewa vifaa vyako unaondoka navyo; then mafundi wao wanakuja kukufungia nyumbani kwako bila gharama yoyote.

Napatikana kwa 0754533543.

Yani ukimaliza mkopo ndo unakuja kufungiwa solar? au?
 
Yani ukimaliza mkopo ndo unakuja kufungiwa solar? au?

mkuu kwa nini usingeweka ufafanuz zaid ili tuweze kujua gharama yao,maana hata mimi nahitaj sana kuwa na solar,nina kativi kamoja inch 18,na nahitaj taa kama nane,pamoja na kuchaj simu,gharama kias gani.ninaish madale kwa daimond
 
Tunashukuru kwa taarifa
Ila ungeweka detail zaid ingesaidia sana wana jamii kupata uelewa
Mie naulizia hiyo namba tatu,je naweza pata more details kama
Imetengenezwa wapi,ina warant ya muda gani ,bei kwa bila mkopo na bei kwa mkopo inakua na riba kiasi gani ,na je usalama wa hela ya anaetaka kwa mkopo ukoje mpk atakapimaliza malipo yake
Na nyie mpo wapi tanzania
Thanks
 
tatzo hawawek gharam
halaf cjaelewa alposema uklipia unaondoka na vifaa wakat huohuo anasema ni mkopo na unalpa baada ya miaka 3 baada ya kufungiwa
lipi ni lipi kiongoz?
 
Hivi Kuna Tv za solar ambazo ni flat screen?

Specs na bei zake zikoje?

Brands zipi?

Halafu ungeweka watts za hizo panel na brands zake na utaratibu wa kulipana.

Halafu hao mafundi wanaweza kuja kunifungia bure huku Isungangwanda?
 
Naona huu jamaa anahisi kama anaongea na watoto wadogo au anatuma tangazo la kiutani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…