Je, unahitaji kumiliki simu ya ndoto yako kwa bei nafuu? Usiache kupitia huu uzi

Nna Redmi 13C nilinunua mwezi wa Tatu naona camera yake sio kama ya oppo niliyokua natumia.Nataka nirudi kwenye oppo itanigharimu bei gani(GB 256).

Kinyume na hapo hapati simu eti?
Sasa FWEDHA yangu inatokaje kizembe hivyo, mjini hapa akitaka kula changu nae aliwe, sio kuliwa tu anifurahishe, nifurahi, niinjoi.πŸ˜‚
 
Yaani imepita wiki moja tangu nikuuloze nikiwa na Galaxy A14 , 4GB RAM, 128 GB ambayo ina miezi michache tangu niinunue dukani.

Nahitaji Galaxy Note 10+ laini mbili, je niongezee kiasi gani?
Nilikujibu njoo dukani niicheki simu tajiri tuitathmini bei au unaweza kunitumia picha hapa/pm/WhatsApp maana miezi minne sio michache.

Karibu
 
XIAOMI REDMI 13c πŸ”₯


Storage 256GB
Big Battery 5000mAh πŸ”‹
335,000/=βœ…



CALL US ON:
☎️ 0676721372



______________________
πŸ“Dar es Salaam {Kariakoo, Msimbazi & Aggrey st.}
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…