Je, unahitaji kutibiwa INDIA? Njoo uulize.

Je, unahitaji kutibiwa INDIA? Njoo uulize.

Ndio mkuu. Ni moja ya upasuaji wa urembo ambao hufanyika kuboresha mvuto au kurekebisha tatizo linawoweza mkosesha mtu tabasamu.
 
Kupeleka watu kutibiwa INDIA ilishakuwa biashara tokea kitambo ingawa wengi hawakustukia.

Kuthibitisha hilo wahindi walimfanyia figisufigisu sana Reginald Mengi wakati wa kutaka kufungua ile hospitali ya moyo aliyoianzisha.

Wahindi walikuwa wakimchelewesha na kumlobesha J.M Kikwette ili asifanye mapinduzi katika huduma ya afya ili wapelekwe watanzania wengi wakatibiwe kwenye hospitali za kawaida sanaa huko India huku pia wakidalalia nauli na matibabu.

Kwani ni ugonjwa upi unaotibika huko India ambapo kwa Nairobi, au South Africa hautibiki? Na huku ni karibu tu.

Sasahivi tuna specialists wengi nchini hapahapa na hospitali kubwa, mtu asipopona wakati wa matibabu na akafariki ni mapenzi ya Mungu na hata angeenda India angefariki pia.

Wabillah Tawfiq,
 
Samahani mkuu kama umekwazika kwa namna moja ama nyingine. Ni kweli kuna kipindi message zilichelewa kujibiwa ila tatizo hilo lilikuwa la muda mfupi. Hadi sasa watu wote wameshajibiwa na wapo wanaosubiri majibu ya madaktari.
ok nimekuelewa mkuu
 
Habari wandugu?

Watu wengi wamekuwa wakishindwa kuulizia gharama za matibabu katika hospitali za India kwa kutojua wapi pa kuanzia na kutojua Hospitali ipi ni nzuri kwa tatizo lake. Pamoja na maboresho makubwa katika sekta ya afya nchini kwetu ila ukweli utabaki kuwa India wako mbali kiutaalamu, kiteknolojia na huduma . Kama u mgonjwa au una mgonjwa na unafikiria unahitaji matibabu India usiwe na shaka, nitumie vipimo vya mgonjwa toka kwa daktari wake kama anavyo, au unitumie maelezo ya ugonjwa wako kwa WhatsApp +91 90 0825 4056. Ndani ya siku 3 hadi 4 utapokea majibu ya daktari na makadirio ya gharama toka katika hospitali za; Gleneagles Global Hospitals na Narayana Health City. Hakuna malipo katika kuuliza chochote.

KWA MAGONJWA YAPI WAWEZA PATA HUDUMA BORA NCHINI INDIA?

Mamilioni ya watu toka mataifa mbalimbali, Tanzania ikiwamo, hutembelea India kila mwaka kwa ajili ya kufanya medical check na pia kupata tiba kwa magonjwa mbalimbali ambayo yamekosa wataalamu wa kutosha nchini kwao. India ina hospitali kubwa zinazotoa huduma za kiwango cha kimataifa katika kiwango cha ubingwa na ubingwa wa mabingwa katika maeneo mengi machache yakiwa yameorodheshwa hapo chini:
1.Heart Surgery (Upasuaji wa Moyo)
a. Upasuaji wa moyo (Cardiac Surgery)
b. Kuotesha mishipa ya damu ya moyo (Coronary Bypass)
c. Kucheki moyo (Heart Check)
d. Kubarishwa valve za moyo (Heart Valve Replacement)
2.Kuoteshwa Viungo (Organ Transplant Surgeries)
a. Kuoteshwa Ini (Liver Transplant)
b. Kuoteshwa Figo (Kidney Transplant)
c. Kuoteshwa urojorojo wa mifupa (Bone Marrow Transplant)
3.Operesheni za mifupa (Orthopedic Surgery)
a. Kubaridisha vifundo (Total Knee Replacement )
b. Kubadirisha nyonga (Hip Replacement)
c. Kubaririsha viungo (Joint Replacement)
4. Kuweka vifaa vya kusaidia kusikia kama Cochlear Implant hususani kwa watoto walioacha kusikia kutokana na matatizo yaliyotokea utotoni.
5.Tiba za Macho (Eye Care & Treatment)
a. Lasik - Laser Surgery
b. Upasuaji wa Cataract (Cataract Surgery)
c. Upasuaji wa glaucoma (Glaucoma Surgery)
d. Upasuaji wa retina (Retinal Surgery)
6.Upasuaji wa urembo (Cosmetic Surgery)
a. Kukuza matiti (Breast Enlargement)
b. Kunyanyua uso (Face Lift)
c. Upasuaji wa pua (Nose Surgery)
d. Kuotesha nywele kwenye vipara (Hair Transplant)
7.Tiba za Meno (Dental Care)
a. Kutengeneza tabasamu (Smile Design)
b. Meno (Dentures)
c. Upasuaji wa kinywa (Oral Surgery)
8. Tiba za kisasa za saratani (Advanced Cancer Therapy)

9. Matibabu ya mfumo wa fahamu (Neurosciences)

10. Matibabu ya mfumo wa mkojo (Urology)

11. Matibabu ya mfumo utumbo (gastroenterology)

n.k


Kwa mawasiliano zaidi:
+91 90 0825 4056 (WhatsApp)







Vipi kuhusu kunenepesha makalio?
 
Nahitaji kumpeleka mwanangu wakamfanyia upasuaji wa moyo.naomba msaada wako wa maelekezo
 
kufanya checkup procedure zipoje?
Ni rahisi sana. Unatuma taarifa zako kama majina kamili na passport namba then utapokea barua ya mualiko ambayo utaitumia kuombea visa ubalozini. Ukifika hospitalini vipimo vyote vitafanyika na majibu yatatoka ndani ya kipindi kifupi. Utaonana na madaktari kwa ajili ya kusomewa majibu na mashauriano zaidi kama itabidi.

Kuhusu aina ya vipimo vitakavyofanyika na gharama yake kwa ujumla, nitakuwekea hapa baadae.
 
kufanya checkup procedure zipoje?
Global international health Check package.jpg
 
Back
Top Bottom