Je, unahitaji kutibiwa INDIA? Njoo uulize.

Ndio mkuu. Ni moja ya upasuaji wa urembo ambao hufanyika kuboresha mvuto au kurekebisha tatizo linawoweza mkosesha mtu tabasamu.
 
Kupeleka watu kutibiwa INDIA ilishakuwa biashara tokea kitambo ingawa wengi hawakustukia.

Kuthibitisha hilo wahindi walimfanyia figisufigisu sana Reginald Mengi wakati wa kutaka kufungua ile hospitali ya moyo aliyoianzisha.

Wahindi walikuwa wakimchelewesha na kumlobesha J.M Kikwette ili asifanye mapinduzi katika huduma ya afya ili wapelekwe watanzania wengi wakatibiwe kwenye hospitali za kawaida sanaa huko India huku pia wakidalalia nauli na matibabu.

Kwani ni ugonjwa upi unaotibika huko India ambapo kwa Nairobi, au South Africa hautibiki? Na huku ni karibu tu.

Sasahivi tuna specialists wengi nchini hapahapa na hospitali kubwa, mtu asipopona wakati wa matibabu na akafariki ni mapenzi ya Mungu na hata angeenda India angefariki pia.

Wabillah Tawfiq,
 
Samahani mkuu kama umekwazika kwa namna moja ama nyingine. Ni kweli kuna kipindi message zilichelewa kujibiwa ila tatizo hilo lilikuwa la muda mfupi. Hadi sasa watu wote wameshajibiwa na wapo wanaosubiri majibu ya madaktari.
ok nimekuelewa mkuu
 

Vipi kuhusu kunenepesha makalio?
 
Nahitaji kumpeleka mwanangu wakamfanyia upasuaji wa moyo.naomba msaada wako wa maelekezo
 
kufanya checkup procedure zipoje?
Ni rahisi sana. Unatuma taarifa zako kama majina kamili na passport namba then utapokea barua ya mualiko ambayo utaitumia kuombea visa ubalozini. Ukifika hospitalini vipimo vyote vitafanyika na majibu yatatoka ndani ya kipindi kifupi. Utaonana na madaktari kwa ajili ya kusomewa majibu na mashauriano zaidi kama itabidi.

Kuhusu aina ya vipimo vitakavyofanyika na gharama yake kwa ujumla, nitakuwekea hapa baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…