JE, UNAHITAJI KUZUIA VIDEOS ZA FACEBOOK KUJIPLAY AUTO? FANYA HIVI KUZUIA ZINAKULA MB ZAKOπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

JE, UNAHITAJI KUZUIA VIDEOS ZA FACEBOOK KUJIPLAY AUTO? FANYA HIVI KUZUIA ZINAKULA MB ZAKOπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Khamista

Member
Joined
Mar 16, 2019
Posts
16
Reaction score
23
JE, UNAHITAJI KUZUIA VIDEOS ZA FACEBOOK KUJIPLAY AUTO? FANYA HIVI KUZUIA ZINAKULA MB ZAKOπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

katika facebook unapo ingia uwa kuna videos ambazo uwa zinatabia ya kuplay moja kwa moja kwa mfano matangazo ya video atakama hauhitaji kutazama yataanza kuplay moja kwa moja.

Video post zikiwa nyingi na matumizi ya MB yanakua makubwa. Fuata hatua hizi :-
8. Ingia katika facebook yako.
9. Juu upande wa kulia bonyeza alama ya vimistari vitatu.
10. Nenda katika settings and privacy.
11. Bonyeza Settings.
12. Shuka chini na ubonyeze Media and Contacts.
13. Tafuta na bonyeza Autoplay.
14. Chagua Never autoplay videos.
15. Hapo utakuwa umemaliza mchezo.

Hitimisho
Kama kweli utafanya hivyo basi utagundua ni kweli kabisa utakuwa umeweza kuokoa MB zako kwa kiasi kikubwa sana.
πŸ’ͺTUISHI KIDIGITALI
 
Mimi ni mkulima, lakini niliitema fb rasmi from 2013
Mm n jobless, lakini niliitema FB rasmi from 2012.

Tatizo la watu wa humu utasikia situmii FB ety n ya washamba utadhani yeye n mjanja kumbe bwege tuu
 
Back
Top Bottom