Aiseee huyu Gs miguu ya nyuma mirefu kuliko ya mbele haki ni crossbreed Walahi .
Ni mcahanganyiko wa German sherphad na Rottwerer...
Wanapatikana bunda mkoa wa mara.
Kwa sasa wana siku 23 ya umri.
0766274705View attachment 934709
Mjomba umeshindia dagaa unatafuta pakupumilia ?Kama huwajui mbwa ni busara kuachia thread ipite. Unaonesha ujuha wako unapoamua ku comment kila post. Kwa taarifa yako GSP pure huwa na miguu ya nyuma mifupi. Busara ni kuchunga kinywa chako kwa usilolijua.
HUYU HANA MCHANYIKO WA GERMAN SHERPHAD WOWOTE
ANAITWA MACHO MANNE