Je, unahitaji mfanyakazi kwenye ofisi?

Je, unahitaji mfanyakazi kwenye ofisi?

Alana Rolmodo

Member
Joined
Jan 9, 2024
Posts
19
Reaction score
25
Habari!

Ikiwa unahitaji mfanyakazi katika ofisi yako, nipo tayari kuja kufanya kazi.

Elimu yangu ni shahada ya kwanza ya usimamizi rasilimali watu (Human Resources Management).

Nina uzoefu wa kazi zifuatazo kama vile; (Loan officer, sales representative and stationarist, human resources management, customer care/ receptionist and office attendant).

Hivyo, iwe kazi niliyowahi kufanya ama ambayo sijawahi kufanya, nipo tayari. Ni mwaninifu na mchapakazi.

Mawasiliano- 0759161254
Napatikana mkoa wa Mbeya.
Nipo tayari kwenda mkoa wowote kufanya kazi.
Ahsante.
 
Ahsante! Ndiyo ni Mimi. Pia kwasasa nipo mbeya. Nipo tayari kwenda mkoa wowote
 
Jinsia yako? wakike au wakiume?
Wasije kukuita kwenye kazi ya kukimbia na mzigo wa kilo 100 kwenye bega gizani kumbe mwanamke
 
Back
Top Bottom