Je unahitaji mkopo? Basi usisite kuwasiliana nami hapa

Je unahitaji mkopo? Basi usisite kuwasiliana nami hapa

MWANANCHI MUSOMMMA

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
328
Reaction score
50
Wasiliana nami kupotia 0657 740 797 dhamana : Gari| bajaji|nyumba yenye hati|gari ni rahisi zaidi kwani tutalilinda mpaka utakapomaliza deni lako lote|mkopo wa dharura pia upo sasa kazi kwako=nawakaribisha sana katika kampuni yetu hii mpya jina :wananchi financial centre ltd |karibuni sana..
 
Kijana unaonekana ama unacheza.. au tapeli maana hii post yako inapingana na ile uliyoitoa kule ukilialia eti huna hela unataka ukopeshwe pango la nyumba tenakwa laki moja hebu jisome hapa...
mwananchi musommma said:
Naanza MAISHA pesa SINA lkn hii ndiyo nataka nianze ss kama yupo mtu wa kunisaidia |naombeni nyumba basi walau miezi 6 ili niweke kipato halafu miezi 6 ikiisha unaobgeza gharama naombeni
teh teh teh mkuu kumbe hela ya kulipa pango unategemea hadi upate hapa ha ha ha ha sasa mkuu inakuaje hapa unalalama hela huna halafu kule juu unajinadi Una mapesa unataka kopesha?? Hapa mjini katapeli wajinga wenzio...
 
Invisible Moderator hebu pita hapa kwanza muone nini kingeweza kufanyika.

Halaf kwa nini watu kama hawa wanaachiwa tu juu juu baada ya kugundulika kuwa alitaka kutapeli watu kwa nini wasitengenezewe mtego wakachukuliwa hatua kali au mpaka angelizwa mtu ndio angeanza kutafutwa ?.

Ingefaa awekwe chini ya Ulinzi atoe maelezo ya kina na yenye kuridhisha coz watu wanamtuhumu ingefaa aonyeshe hiyo kampuni inahusika na nini imesajiliwa au laa na imesajiliwa lini n.k

Nadhani kuna wana usalama humu ndani ambao wangeweza ku-deal na mijitu kama hii au mtu mpaka atapeliwe ndio watu waanze kutoa pole zisizo na tija ugonjwa unatakiwa kuwahishwa hospitali mapema kabla haujawa sugu na kumaliza wengi inakera sana kwa kweli.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom