MWANANCHI MUSOMMMA
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 328
- 50
Wasiliana nami kupotia 0657 740 797 dhamana : Gari| bajaji|nyumba yenye hati|gari ni rahisi zaidi kwani tutalilinda mpaka utakapomaliza deni lako lote|mkopo wa dharura pia upo sasa kazi kwako=nawakaribisha sana katika kampuni yetu hii mpya jina :wananchi financial centre ltd |karibuni sana..
teh teh teh mkuu kumbe hela ya kulipa pango unategemea hadi upate hapa ha ha ha ha sasa mkuu inakuaje hapa unalalama hela huna halafu kule juu unajinadi Una mapesa unataka kopesha?? Hapa mjini katapeli wajinga wenzio...mwananchi musommma said:Naanza MAISHA pesa SINA lkn hii ndiyo nataka nianze ss kama yupo mtu wa kunisaidia |naombeni nyumba basi walau miezi 6 ili niweke kipato halafu miezi 6 ikiisha unaobgeza gharama naombeni