Je unahitaji spea tairi??

Je unahitaji spea tairi??

mysteryman

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
1,065
Reaction score
365
Kila kitu kina hitaji backup hapa duniani kama ilivyo gari na spearwheel hali kadhalika ktk mapenzi kuwa na spea tairi ni muhimu....so kwa mdada, mmama au mlimbwende mwenye kuhitaji spea tairi nipo hapa...
 
Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza, chambua huo msemo na uulinganishe na hicho unachofanya.
 
Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza, chambua huo msemo na uulinganishe na hicho unachofanya.

na wewe tafuta gari lenye spea tairi kisha litazame kwa makini sana hilo spea tairi utaelewa picha nzima...
 
Back
Top Bottom